MANYORI Jr
JF-Expert Member
- Mar 25, 2012
- 462
- 343
Kuna jambo nimelishangaa kiasi hasa hili la matokeo ya kidato cha pili( FTNA) kutangazwa kwa watahiniwa walioko shuleni tu na kuyaacha matokeo ya watahiniwa binafsi wa kidato cha pili(QT).
Nimejiuliza pia juu ya usawa wa muda wa kujisajiri kwaajili ya mtihani wa kidato cha nne ikiwa QT matokeo hayapo hadi wakati huu.
Lengo la baraza la Mitihani ni nini hasa? na je,litasogeza mbele muda wa usajiri kwa wale ambao matokeo yao yamechelewa kutolewa(QT) ili nao wapate fursa ya muda sawa?
Ni kwa mazingira haya nimefikiri pia kuwa baraza linapanga kuwapiga faini ya kinguvu watakaochelewa kujisajiri kwaajili ya mtihani wa kidato cha nne ilihali baraza limechelewesha matokeo?
Ratiba ya kujisajiri inaonesha ni kuanzia January mosi hadi February 30(bila faini) na machi mosi hadi 30 (na faini juu).
Kwanini ipo hivi?
Sent using Jamii Forums mobile app