Matokeo ya kidato cha nne mwaka jana(2016)

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,938
31,885
Hello JF
Matokeo ya mwaka jana ya kidato cha nne kwa mkoa wa Daresalaam hayakua mazuri....

Mie nadhani sababu mojawapo ni Dar kuwa na utitiri wa shule...

Hakuna body inayo regulate shule hizi...

Kungekua na body inayochunguza quality ya masomo yanayofundishwa kwa shule hizi am sure wangengudua uozo mwingi...

Sidhani kama wanafunzi wote waliofeli mwaka jana, hawakua na uwezo wa kufaulu it's just system imewa FAIL..unafundishwa uozo utafaulu kweli ikija mitihani ya baraza?

It's time mkuu wa mkoa to act on this....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…