Matengenezo ya garden na urembo wa nyumba (show case design)

Pedeshee212

Member
Apr 2, 2024
15
29
Mimi ni master planner na fundi wa kutengeneza garden kuanzia hatua ya kwanza ya kupima MWINUKO wa eneo lako, kufanya tadhimini ya Aina udongo Unaotakiwa kutumia, kama Kuna mahitaji ya kifusi, kusambaza na kufanya leveling au msawazo, kusambaza mbolea na kupanda ukoka wako. Pia Garden yako unaweza kunikabidhi kuitunza hadi kufikia umri wa nyasi kukatwa.

Pia, kujengea Kingo za kuzuia kiwango cha maji kutoka kwenye uwanja uliowazi kuingia kwenye ukoka. Pamoja na kuweka vikanyagio kwenye ukoka kama njia kwa mfumo huupendao.

Napatikana Dar es Salaam, eneo linaitwa gongola Mboto.
KWA mawasiliano: 0714693107.
Karibuni Sana. Kazi yangu ni ya uhakika na sio gharama kubwa kama wengine wafanyavyo.

UAMINIFU NA UBORA WA KAZI NDIO MSINGI WA KAZI YANGU.

images%20-%202024-02-13T095824.748.jpg
 
Back
Top Bottom