mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,029
- 49,220
Aliyebuni hiki kitu,mbinguni moja kwa moja
Sehemu ninayoishi kuna mashabiki wengi sana wa Simba,mashabiki wa Simba kwa pamoja wana kikundi chao kiingilio ni 5000 na michango ya 1000 kwa mwezi.
Mwamba mmoja miongoni mwao alifariki na hana ndugu huku.
Simba waliubeba msiba kama wao hakuna kitu kilikosa,nikasumbiwa na Yanga ni hivyo hivyo.
Watu wanapozishangilia hizo timu waachwe tuzina fanbase kubwa