Matawi ya CCM Bokorani na bank club yafanya kikao cha maandalizi ya ushindi

JOYOPAPASI

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
250
409
*LEO TAR 23/08/2020 MATAWI YA BOKORANI NA BANK CLUB YAMEFANYA KIKAO CHA PAMOJA CHA HALMASHAURI KUU YA MATAWI HAYO*.

AGENDA:-
(1).Kwa Kuwa Mgombea Udiwani Mteule wa CCM wa Kata Ya Mtoni Ametokana Na matawi hayo, Basi kuhakikisha Wanashirikisha Matawi Mengine 7 ili kuhakikisha Ushindi Mnono wa Diwani huyo #Amina #Batash, Mbunge Mteuliwa wa Jimbo la Temeke #Doroth #Kilave, Jimbo La Mbagala #Abdallah #Jafary #Chaurembo na Rais wetu Mpendwa Dkt #John #Joseph #Pombe #Magufuli.

(2).Kuainisha Miradi Mikubwa iliyofanywa na Rais wetu Mpendwa Dkt #John #Joseph #Pombe Magufuli, kwenye kata Ya Mtoni, Jimbo la Temeke na Mbagala na Miradi Mikubwa nchini.

(3).Umoja Ni USHINDI, Chama Cha mapinduzi kata ya Mtoni, Majimbo Ya Mbagala na Temeke Lazima Tuungane na kushikamana Kuwa na Umoja Kupata USHINDI Mnono.

#VIONGOZI
TAWI LA BANK CLUB
(1). Mwenyekiti Mama #Agness #Kalombe
(3).Katibu #Nurdin #Suleiman #Muya.
(3).Mwenezi #Vedasto #Nayamonia.

#VIONGOZI TAWI LA #BOKORANI.
(1). Mwenyekiti #Joseph #Yona.
(2).Katibu #Juma #B #Mtambo.
(3).Mwenezi #Geofrey #Hinjusoni.
(4).Diwani MSTAAFU #Ally #Shabani #Kinyaka.
Screenshot_20200823-191854_1.jpg
IMG_20200823_171652_737.jpg
IMG_20200823_173149_235.jpg
IMG_20200823_154747_494.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom