Matatizo mengine ya kujitakia

Ekyoma

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
2,177
2,803
Mshikaji kajenga nyumba kwenye mkondo wa maji sasa nyumba inaisha kidogokidogo yani ana stress kuliko mtu mwenye ngoma kiukweli nimeshindwa kumpa ata pole maana wakati ananunua kiwanja wadau walimwambia akapuuzia. Sasa anataka ahamie kwangu eti mtu mwenyewe nna chumba kimoja tangu mvua zianze kuna mtu ananisaidia kupunguza baridi atajijua bwana jamani msinunue viwanja sehemu za ovyo kisa bei cheee
 
Mkuu wewe ni Mjita?
 
Sitaki msaada wko tena, ndio umeamua kunitangazia kisa nimekuomba msaada,, Leo kwng kesho kwko
 
Msitiri mwana,, huyo kishtobe anaekupa hilo unalooita jotto ukiishiwa atakuona mavi,, lakn mwana atafunga mbeleko atakubeba..,,
 
Mwenzio kajenga kwenye mkondo wa maji na nyumba inaisha kidogo kidogo atleast yeye anapata nafasi ya kujiokoa na kujipanga,

Wewe uliyejenga sehemu nzuri nyumba yako inaweza ikapigwa na tetemeko la ardhi (sio kwamba nakuombea mabaya) na ukashindwa kujiokoa na pengine ukahitaji msaada wa huyo huyo jirani yako uliyeamua kutomsaidia na kumtangaza hapa.

Acha roho mbaya,hakuna ajuaye kesho yake wala kesho ya mwenzie.
 
Hahahaha hiyo nyumba kama naifahamu maana miaka ya 2012 ilikuwa imebaki gema kubwa sasa naona inazidi kuwa mbaya zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…