Matamko ya viongozi wa chadema kwamba wakiongoza nchi watazifuta Simba na Yanga yana busara yoyote? Kosa la vilabu hivi kwa chadema ni lipi?

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
17,630
28,868
Nimefuatilia matamko kadhaa ya viongozi wa chadema wakijipiza dhidi ya vilabu hivi pendwa. Kwa nini wamedhamiria kuvidhuru ? Kosa lao nini?
 
Baadhi ya? Wangapi?

Hoja hii imetolewa na Lema kwa minajili ya simba na Yanga zinapumbaza watu kutetea haki zao. Simba na Yanga zipo kama wale wavaa nanii hawaoni baya.

Taifa linaloamka asubuhi mpaka jioni radio ni kuongelea michezo simbayanga ni taifa mfu na hoehae.

Ukiacha na siasa. Simba na Yanga ndio vilabu vinazuia maendeleo ya soka letu.
 
Ulishawahi kupata ugonjwa akili?
 
Kwani wtz tunakula simba na yanga?, Na vifutwe maana ni moja ya zindiko la ccm kuwapunbaza wtz kutofuatilia mambo ya msingi!!.
Inawezekanaje Radio station kuanzia asbh mpk jion n simba na yanga, vijiweni n simba na yanga .... Na vifutwe kabisa.... Itapendeza kukaanzishwa timu mpya KILA mkoa usio na timu upate timu ligikuu, Ili kuwe na uzalendo halisi. Inakuwaje yanga/simba anacheza na kagera sugar/Tabora afu wakaazi wa maeneo hayo wazishangilie hizo timu na sio timu zao?. Huoni kama hilo ni zindiko na utumwa wa kikoloni uliopandikizwa na ccm dhidi ya wtz?.
ZIFUTWE KABISA.
 
Simba na Yanga zitawajibu kupitia uchaguzi wa October 2025
 
Nimefuatilia matamko kadhaa ya viongozi wa chadema wakijipiza dhidi ya vilabu hivi pendwa. Kwa nini wamedhamiria kuvidhuru ? Kosa lao nini?
Wameanza kuwa sehemu ya chawa wanaoliangamiza taifa.Ila sasa nyie chawa wa ccm msitake kuichonganisha Chadema na mashabiki wa vilabu hivi kwani hata Wao ni Watanzania na wafanyayo ccm ysnawaathiri wao na vizazi vyao.
 
Kwani wtz tunakula simba na yanga?, Na vifutwe maana ni moja ya zindiko la ccm kuwapunbaza wtz kutofuatilia mambo ya msingi!!.
Inawezekanaje Radio station kuanzia asbh mpk jion n simba na yanga, vijiweni n simba na yanga .... Na vifutwe kabisa.... Itapendeza kukaanzishwa timu mpya KILA mkoa usio na timu upate timu ligikuu, Ili kuwe na uzalendo halisi. Inakuwaje yanga/simba anacheza na kagera sugar/Tabora afu wakaazi wa maeneo hayo wazishangilie hizo timu na sio timu zao?. Huoni kama hilo ni zindiko na utumwa wa kikoloni uliopandikizwa na ccm dhidi ya wtz?.
ZIFUTWE KABISA.
Aisee! Wewe unajielewa sana, Hawa ni misukule wa ccm, mataahira Kila saa ni yanga na simba TU! Majitu yamekuwa kama mazezeta!
 
Wewe hujui hizi timu zinaleta umoja wa kitaifa.leo hii Mwigulu mchemba na Tundu lisu wanaweza kukaa pamoja kwa kushangilia yanga.? Jambo gani lingine linaweza likawaunganisha watu kama sio hilo.
Wanaopinga hizi clubs hawana akili
 
Baadhi ya? Wangapi?

Hoja hii imetolewa na Lema kwa minajili ya simba na Yanga zinapumbaza watu kutetea haki zao. Simba na Yanga zipo kama wale wavaa nanii hawaoni baya.

Taifa linaloamka asubuhi mpaka jioni radio ni kuongelea michezo simbayanga ni taifa mfu na hoehae.

Ukiacha na siasa. Simba na Yanga ndio vilabu vinazuia maendeleo ya soka letu.
Na Siasa za Majitaka ndio zinakuza maendeleo ?

Issue sio kwamba watu hawajui maendeleo yao wala hawayapiganii (after all wanakatwa kodi zao zinazopelekwa kwenye ruzuku) issue ni kwamba wanasiasa ni Kasongo na hawaeleweki na wanashindwa kuongea na wananchi au kugusia mambo yanayowagusa moja kwa moja..., Hapa the ONUS ni kwa wanasiasa waweze kuwafikia watu (after all hizo ni kazi zao) na sio hawa wanaowaweka mjini through ruzuku zao...; Unataka watu wazungumzie issue gani wanazowekewa mezani ? Au events na individuals kwamba huyu kafanya hiki au kile.....

Wewe hujui hizi timu zinaleta umoja wa kitaifa.leo hii Mwigulu mchemba na Tundu lisu wanaweza kukaa pamoja kwa kushangilia yanga.? Jambo gani lingine linaweza likawaunganisha watu kama sio hilo.
Wanaopinga hizi clubs hawana akili
Ni sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom