Tanzanite klm
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 478
- 405
Tupo wawili mkuu!Nimesoma ila sijaelewa
Ni kweli si rahisi kuelewa hii ni elimu ya siri na ngumu. Naku elekeza tafuta kitabu kiitwacho from third world to first world.by kuan lee yewTupo wawili mkuu!
Asante sana kwa darasa. ...kikubwa ni NIA....RICH PEOPLE ARE THINKING OF BECOMING RICH. .POOR PEOPLE ARE THINKING OTHERWISE. ...Ndugu yangu karibu tena katika makala fupi hii juu ya kuelimishana Matajiri wengi huchukia maskini wakiskia hii habari.
Umaskini sio mpango wa Mungu juu ya mwanadamu.Ni matokeo ya kupuuza kanuni za kimungu.Kuna kauli nyingi za kipuuzi zimetungwa na wajanja ili kukubinya wewe maskini mfano:Aliyekupa wewe ndiye kaninyima mimi.
Waafrica walio wengi haweendelei kwa sababu kuu moja nayo ni kutojua matumizi ya muda.wengi wanedanganywa kuwa
1.fanya kazi saa 8
2.pumzika saa 8
3.Lala saa 8
AMIN AMIN NAKUAMBIA ukifiata hii ratiba potofu utakufa maskini na huyawaachia wana wa wanao utajiri.
Kama unadhani kazi uliyoajiriwa ni jambo la maana sana lina kupa security umepotoshwa ndugu yangu,sehemu yenye security kubwa kuliko ni jela.Your job doesnt offer you security,ukitaka security na freedom jiajiri wewe.
Naomba nizungumzie hii enigma(Siri ya Muda) Endapo utafuata hii kanuni ndani ya muda mfupi utaanza kuitwa muajiri/boss na tajiri.
Mgawanyo wa Muda Ki Mungu
1.Mpe Mungu Masaa 2:40 minutes
2.Mwenza wako 1:40 minutes
3.Family. 1:40 minutes
4.Biashara zako. 8:00 hrs
5.Mengineyo. 6:00 hrs
6.Kupumzika. 4 hrs.
Huo ndio mgao wa masaa 24 unatakiwa uwe utaishi maisha ya furaha sana.
Jambo jingine nalotaka ku share nanyi ni kati ya vitu vinavyo poteza muda,
1.Tv
2.social media
Kwa miaka miwili nlipoteza muda mwingi sana maana home nlikua na Tv na kingamuzi cha chanel zaidi ya 200 bado nlikua whatsapp,insta,twitter na mitandao mingine ya kijinga ikifika time nkawa mtumwa wa smart phone,yani simu ilikuwa ikikata moto nlikuwa nakosa raha kabisa like nataka maji ya kunywa.
One day nlijiuliza mbona sijawahi muona Tajiri mkubwa kama Mengi au Bill gates au Jack Ma anatembea na ma simu mengi mkononi au yuko bize na ma simu muda mwingi,ndiposa nkagundua ukiona mtu yupo bize sana na smartphone jua bado ni lofa, matajiri huajiri mtu anaye control social media zao,hivyo basi nkatafuta mtu ndiye hu monitor Fb,Insta na twitter yangu,Nyumbani
Nina Chanel Tatu tuu za Taarifa ya Habari tuu,na wifi nafungua jioni nyumbani muda wa kurest ku surf internet ku gain new knowledge,nimekuwa rafiki wa vitabu sana na kufikiria idea mpya mara mara.
Brother ukiona bado upo bize na smart phone jua bado we ni maskini wa mawazo na ndio chanzo cha umaskini wako, mtu kazi yako ni ku follow ma super star instagram na twitter hakuna anayeku follow.
My brother uza smart yako au mpe mtu amo nite,kuwa na secretary wako. Baki na simu moja tuu ndogo hata ka nokia,kawe na bissiness contacts tuu.
Free your mind my brother get rid of social media,read more about time management.
Ndugu yangu karibu tena katika makala fupi hii juu ya kuelimishana Matajiri wengi huchukia maskini wakiskia hii habari.

Hapa umekuja kutafuta nini...kama social media inapoteza muda...?Au hiki ulichoandika ulitaka watu wakakisomee wapi...?kati ya vitu vinavyo poteza muda,
1.Tv
2.social media
Nia yako nzuri ila UMESHINDWA KUILETA KWA ULIOWAKUSUDIA. Badala ya KUSHAURI eti WEWE UNAWASIMANGA walengwa wako. Endelea kutajirika peke yako with your POOR AND SELFISH PRESENTATIONNdugu yangu karibu tena katika makala fupi hii juu ya kuelimishana Matajiri wengi huchukia maskini wakiskia hii habari.
Umaskini sio mpango wa Mungu juu ya mwanadamu.Ni matokeo ya kupuuza kanuni za kimungu.Kuna kauli nyingi za kipuuzi zimetungwa na wajanja ili kukubinya wewe maskini mfano:Aliyekupa wewe ndiye kaninyima mimi.
Waafrica walio wengi haweendelei kwa sababu kuu moja nayo ni kutojua matumizi ya muda.wengi wanedanganywa kuwa
1.fanya kazi saa 8
2.pumzika saa 8
3.Lala saa 8
AMIN AMIN NAKUAMBIA ukifiata hii ratiba potofu utakufa maskini na huyawaachia wana wa wanao utajiri.
Kama unadhani kazi uliyoajiriwa ni jambo la maana sana lina kupa security umepotoshwa ndugu yangu,sehemu yenye security kubwa kuliko ni jela.Your job doesnt offer you security,ukitaka security na freedom jiajiri wewe.
Naomba nizungumzie hii enigma(Siri ya Muda) Endapo utafuata hii kanuni ndani ya muda mfupi utaanza kuitwa muajiri/boss na tajiri.
Mgawanyo wa Muda Ki Mungu
1.Mpe Mungu Masaa 2:40 minutes
2.Mwenza wako 1:40 minutes
3.Family. 1:40 minutes
4.Biashara zako. 8:00 hrs
5.Mengineyo. 6:00 hrs
6.Kupumzika. 4 hrs.
Huo ndio mgao wa masaa 24 unatakiwa uwe utaishi maisha ya furaha sana.
Jambo jingine nalotaka ku share nanyi ni kati ya vitu vinavyo poteza muda,
1.Tv
2.social media
Kwa miaka miwili nlipoteza muda mwingi sana maana home nlikua na Tv na kingamuzi cha chanel zaidi ya 200 bado nlikua whatsapp,insta,twitter na mitandao mingine ya kijinga ikifika time nkawa mtumwa wa smart phone,yani simu ilikuwa ikikata moto nlikuwa nakosa raha kabisa like nataka maji ya kunywa.
One day nlijiuliza mbona sijawahi muona Tajiri mkubwa kama Mengi au Bill gates au Jack Ma anatembea na ma simu mengi mkononi au yuko bize na ma simu muda mwingi,ndiposa nkagundua ukiona mtu yupo bize sana na smartphone jua bado ni lofa, matajiri huajiri mtu anaye control social media zao,hivyo basi nkatafuta mtu ndiye hu monitor Fb,Insta na twitter yangu,Nyumbani
Nina Chanel Tatu tuu za Taarifa ya Habari tuu,na wifi nafungua jioni nyumbani muda wa kurest ku surf internet ku gain new knowledge,nimekuwa rafiki wa vitabu sana na kufikiria idea mpya mara mara.
Brother ukiona bado upo bize na smart phone jua bado we ni maskini wa mawazo na ndio chanzo cha umaskini wako, mtu kazi yako ni ku follow ma super star instagram na twitter hakuna anayeku follow.
My brother uza smart yako au mpe mtu amo nite,kuwa na secretary wako. Baki na simu moja tuu ndogo hata ka nokia,kawe na bissiness contacts tuu.
Free your mind my brother get rid of social media,read more about time management.
mkuu unaweza kushea nasisi moja kati ya mradi unaokupa faida kiasi?ha ha ha ha ha ha ha ha! Hii inaitwa too much logic my friend sio kwamba sikuungi mkono ajenda yako ila ni kwamba hizi inshu za kupeana solution za maisha zimekuwa kama ndio chanzo cha kufeli kwenyewe. Kwa nijuavyo mimi kufanikiwa katika haya maisha ni juhudi ya mtu binafsi kufanya kile ambacho anakipawa nacho sana tu.......leo kuna watu kama akina joti na mpoki kupitia vituko wameweza kujenga maisha na kupata mianya ya kutajirika, kuna watu kupitia urembo wapo juu, wengine ni hata kilimo cha bangi kimewatoa, sasa sidhani tabia tuu ndio msingi wa kufanikiwa ila na mazingira yanayokusapoti nayo ni muhimu sana. Si wafahamu kuwa kugeza geza humfanya mtu kupata ukichaa wa muda. Miaka ya nyuma watu waliamini kusoma ndio ufunguo wa utajiri leo wasomi ndio wanaofeli maisha kulingana na mfumo wa elimu uliopo. Maisha hayana formula, unaweza ukawa unatumia social media kwa saa zaidi ya 10 but muda wote huo kazi zingine zinakwenda freshi na unaingiza kipato.........mimi hapa unavyoniona napenda sana kula movie na kucheza playstation michezo ya magari na mission na adventure lakini nina kipato cha wastani wa 60,000+ kwa siku na kinaongezeka maana nafanya uwekezaji mdogo miradi ya migodi na cement nimewaachia akina dangote na babaaa kylin, nafanya hivi kwasababu hata MUNGU baba yetu hapendi atuone tukiishi kwa sheria ngumu za kibinadamu wakati anapenda tuishi kwa amani na utulivu. Relax bro, haya maisha hayataki stress.........pupa za nini utajiri unaweza kukujia kwa kasi ndani ya mwaka m'moja cha muhimu ni kujua nini kimekuleta sasa haya mambo ya kuishi kama zombie eti unataka kuwa tajiri basi unajiwekea makanuniiiiii na masheria utadhani roboti au msabato au swala tano kama ustaadhi ally inakuwa ni kama unajifunga kuishi. Ishi kwa utulivu na amani, fanya unachojisikia, kuwa na adabu ya pesa heshimu kazi za wengine, timiza wajibu, jiwekee mipaka itakayokuzuia kufanya uzembe utakaokurudisha nyuma, tenga muda mwingi sana wa kuwa katika dunia yako, jiwekee malengo, punguza stress za kijinga, mfano unataka kuwa na demu ambaye anatamaa ya pesa we unafosi kumtaka, unakopa kiasi cha pesa ambacho hujui utarejeshaje, unakaa na watu ambao hawakukubali au ambao hamuendani kabisa kwa namna zote hii yote ni kutafuta stress.
Hebu nunua t.v set ya size unayotaka, jenga nyumba hata ya room moja piga fensi ili watu wasikuletee mazoea, cheki movie, sikiliza muziki, jiulize unataka kitu gani ndani ya wakati gani iwe mwanamke, mtoto, gari, nyumba, sim, biashara, then evaluate kiasi cha pesa kinachotakiwa ili upate hiyo kitu, then tafuta namna yako ya kupata pesa ya kupata hiyo kitu MUNGU hatakutupa kwa maana anapenda watu wasiocopy formula za binadamu wengine wakati yeye katuumba sawa kabisa kwa kufanana sasa kwanini uchukue kanuni sijui za dangote, sijui poor dad rich dad, sijui billgates, sijui Mengi, sijui Bakhressa, huo ni uzembe katika kuishi. Live your way define your life acha kuiga formula za wengine kudefine maisha yako sisi binadamu sio maroboti kusema tufanane operating system.
So asante kwa somo zuri rafiki ila sitapokea, nasita na ninakataa kufanana na kila mtu nataka kila mtu ajue yeye ni zawadi katika hii dunia, aliletwa kuja kuleta kitu kipya kwa wengine hebu tujifunze kuwa tofauti. Ni hayo tu naomba kuwasilisha mchango wangu katika ,mada hii.