tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,851
lengo lenu wewe na nani??Mmeisha anza, sisi lengu letu ni kukusanya up to 2trillion shs.kwa mwezi basi, ndio kipimo chake ila hayo mengine utaonekana unalialia tu.
Ni uelewa tu, tume ya maadili ilifanya uchunguzi wa kina na kugundua kwamba Maswi hakuhusika na kashfa ya escrow. na hata katika list ya watu waliopata mgao yeye hakuwemo, kwa nini apate adhabu. Haiwezekani mtu awe mhalifu kwa tuhuma, na kama ikibainika hakuhusika ni kwa nini aadhibiwe. Chuku binafsi tuzisipe nafasi kwa manufaa ya nchi yetu.Mmeisha anza, sisi lengu letu ni kukusanya up to 2trillion shs.kwa mwezi basi, ndio kipimo chake ila hayo mengine utaonekana unalialia tu.
Mkuu,Ni uelewa tu, tume ya maadili ilifanya uchunguzi wa kina na kugundua kwamba Maswi hakuhusika na kashfa ya escrow. na hata katika list ya watu waliopata mgao yeye hakuwemo, kwa nini apate adhabu. Haiwezekani mtu awe mhalifu kwa tuhuma, na kama ikibainika hakuhusika ni kwa nini aadhibiwe. Chuku binafsi tuzisipe nafasi kwa manufaa ya nchi yetu.
Yani mkuu wanaendelea kuumia sana! !! Maswi piga kazi to prove them wrong. ..nchi hii ilikuwa imeshakuwa ya kikaskazin wala siyo ya kitaifa..so roho inawauma sana..mbinu zao mwishowe Mungu amewaumbua..Mkuu,
Tatizo kuna majitu yamezoea kuona majina Fulani kwenye hizo taassi. Wameshatuibia vya kutosha. Sasa wameingia wachapa kazi tunaona mapovu yanavyowatoka. Maswi ni Jembe haswa na anastahili hiyo nafasi.
Kabisa mkuu. Majitu Kama yanatamani ardhi ipasuke iwameze. Hamna ujanja ujanja sasa hivi. Ni kazi tu ndio itapima UTU na UZALENDO. Yaani sijui kwa nini hao jamaa wa kaskazini Wanafikiri wao ni bora kuliko Watanzania wengine.Yani mkuu wanaendelea kuumia sana! !! Maswi piga kazi to prove them wrong. ..nchi hii ilikuwa imeshakuwa ya kikaskazin wala siyo ya kitaifa..so roho inawauma sana..mbinu zao mwishowe Mungu amewaumbua..
Namwamini sana Maswi msimamo wake ndo unawachanganya sana hoa wenye viriba vyo roho..ni sawa na prof Muhongo misimamo yake iliwakera wakamuwekea kijicho..wao wamezoea kubembelezwa lkn kwa hawa ni No. PIGA KAZI MASWI ALIYEKUAMINI NI RAIS NA KWAKE UNAWAJIBIKA SIYO JF
Hapana. Kidata ni Kaimu Kamishna na Maswi ni Kaimu Naibu Kamishna (Kamishna Msaidizi).hivi maswi na kidata wote wanakaimu u commissioner general (i mean vyeo sawa) ?
Huyo aliyemteua naye ni msafi kiasi gani? Ana mengi nayeKashfa ya Ufisadi wa Escrow ni doa kubwa sana kwa Kiongozi na mtumishi wa Umma yeyote. Ubabe na visasi ni sehemu ya tabia ya Maswi achilia mbali kashfa ya Escrow. Inakuwaje mtuhumiwa huyu na mbabe huyu anakabidhiwa idara muhimu ya kukusanya Fedha za Umma? Anapata wapi moral justice ya kusimamia uadilifu? Atamwambia nn mtumishi aliye chini yake juu ya rushwa na Ufisadi?
Hivi hakuna kabisa wataalamu wengine katika nchi hii?
Tusitarajie jipya kutoka kwa mtu huyu, zaidi ya kashfa, ubabe na visasi.
MH. RAIS MAGUFULI KAMA KWELI UNATAKA UFANISI KATIKA SERIKALI YAKO ZINGATIA HILI.
UKWELI HUU UTAKUMBUKWA.
Hapana .kidata ni kamishna mkuu (CG) na maswi ni naibu kamishna mkuu (deputy commissioner general)Hapana. Kidata ni Kaimu Kamishna na Maswi ni Kaimu Naibu Kamishna (Kamishna Msaidizi).
una chuki sana ww, bila shaka dini inachangiaTulishasema chagadema,bavicha msipoacha chuki,majungu na roho za choroka,madaraka ya hii nchi mtaishia kuyasikia kwenye kipindi cha nipashe
Sasa hapo umekataa lipi katika bandiko langu!!??? Au ilikuwa lazima ufukunyuke tu ili na wewe ujione uko kwenye kundi la mabeberu.Hapana .kidata ni kamishna mkuu (CG) na maswi ni naibu kamishna mkuu (deputy commissioner general)