Maswali na majibu bungeni

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
834
1,478
Nimekuwa nikisikiliza maswali na majibu yanayoulizwa Bungeni na majibu yanayotolewa Bungeni kwa kweli kipindi hiki hakina tija na kinatakiwa kufutwa kabisa.

Unaposikiliza majibu kwa kweli hayana mashiko na mengi hayana ukweli. Ni majibu ya kufunika kikombe na mwanaharamu apite.

Mfano hai ni majibu aliyopewa Waitara jana Bungeni. Muwe maakini na utafiti ufanyike kabla ya kutoa majibu mbele ya Wabunge.
 
Back
Top Bottom