Maswali ambayo Pascal Mayalla amemuuliza Tundu Lissu, nimeona ni muda sahihi Pascal ku-step down.!

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
24,298
64,631
Kwanza Kabisa nampogneza Ndugu Pascal Mayalla kwa kuifanya Kazi yake ya uandishi wa habari Kwa muda mrefu .

Kwa ambao tunamfahamu Pascall Mayalla wa miaka 20 nyuma ni tofauti na huyu wa sasa .

Kuna mambo matatu nimeyaona tangu mwaka 2016 tangu Pascal Mayalla aulize swali mbele ya the late JPM .

• 1 Baada ya kuuliza lile swali tata ambalo sio tu lilimfanya Mayalla kujulikana Ila lilimjengea Sana heshima kubwa kwake Ila inaonekana matokeo ya swali lake hayakuwa mazuri Sana .

Inawezekana alitishwa , inawezekana biashara zake na kampuni yake ilianza kufatiliwa n.k

Baada ya 2016 Pascal Mayalla amepoteza ule weledi wake .

Kosa kubwa alilolifanya ni kujiingiza Katika siasa za Ccm kipindi ambacho Ccm haimuhitaji, na kugombea ubunge wa Kawe pamoja na ubunge wa EAC.

Sasa baada ya kuingia Ccm bado hawampi ile heshima yake Kama Mwanahabari mkongwe na akihitaji Kuwa karibu na Mh bado hawamkubalii kirahisi

Mfano ilivyokuwa kule MBEYA.

Hivyo haya mambo yote anayoyapitia ameshindwa kujua kipi asimamie .

Ukifatilia maswali aliyomuuliza TAL juzi mbele ya Balile hayakuwa na weledi , yaani anachanganya mambo matatu Kwa wakati mmoja na kusahau maslahi ya nchi ni muhimu kuliko maslahi ya TAL

Mfano anamwambia TAL kuwa Mama alikufata Nairobi , alikubali kuonana na wewe Belgium na alimtoa Mbowe Gerezani .

Ebu jiulize haya maswali ?

Mama alienda Nairobi kumuona Lissu kitandani au alienda katika kuapishwa kwa Uhuru Kenyata ndo akapitia Kwa Lissu ?

Je Mama alienda Belgium kuonana na Lissu au alienda katika ziara yake binafsi ya kikazi Kama Rais na ndipo alionana na Lissu?

Je, Mbowe kukaa gerezani Kwa mashtaka ya ugaidi ilikuwa halali na je ni Kazi ya Rais kusamehe magaidi wa hii nchi au Mbowe alikamatwa Mwanza katika harakati za kuomba madai ya katiba mpya ndo sekeseke llilianzia pale .

Ukija katika wema aliofanyiwa TAL na Serikali je una uhusiano wowote na madai yake ya sasa ya NO reform NO Election.

Paskali Muda wako sasa nadhani umefika kikomo wa kuendelea kuwa mwanahabari mbobezi ili kulinda heshima yako jaribu kuandaa watu wapya ambao watavaa viatu vyako .

Maana naona tangu 2016 haujarudi katika ubora wako.

Asante
 
Huwezi kuwa mwanachama halafu ukahoji mambo ya msingi ya kuwakasirisha watawala hasa kiongozi wako wa chama.

Kwa sasa hatuna waandishi wa habari Tanzania ila tuna machawa wa viongozi walioshindwa kutofautisha weledi wa kazi zao na mapenzi yao katika vyama vyao. 🙌🏻
 
Kwanza Kabisa nampogneza Ndugu Pascal Mayalla kwa kuifanya Kazi yake ya uandishi wa habari Kwa muda mrefu .

Kwa ambao tunamfahamu Pascall Mayalla wa miaka 20 nyuma ni tofauti na huyu wa sasa .

Kuna mambo matatu nimeyaona tangu mwaka 2016 tangu Pascal Mayalla aulize swali mbele ya the late JPM .

• 1 Baada ya kuuliza lile swali tata ambalo sio tu lilimfanya Mayalla kujulikana Ila lilimjengea Sana heshima kubwa kwake Ila inaonekana matokeo ya swali lake hayakuwa mazuri Sana .

Inawezekana alitishwa , inawezekana biashara zake na kampuni yake ilianza kufatiliwa n.k

Baada ya 2016 Pascal Mayalla amepoteza ule weledi wake .

Kosa kubwa alilolifanya ni kujiingiza Katika siasa za Ccm kipindi ambacho Ccm haimuhitaji, na kugombea ubunge wa Kawe pamoja na ubunge wa EAC.

Sasa baada ya kuingia Ccm bado hawampi ile heshima yake Kama Mwanahabari mkongwe na akihitaji Kuwa karibu na Mh bado hawamkubalii kirahisi

Mfano ilivyokuwa kule MBEYA.

Hivyo haya mambo yote anayoyapitia ameshindwa kujua kipi asimamie .

Ukifatilia maswali aliyomuuliza TAL juzi mbele ya Balile hayakuwa na weledi , yaani anachanganya mambo matatu Kwa wakati mmoja na kusahau maslahi ya nchi ni muhimu kuliko maslahi ya TAL

Mfano anamwambia TAL kuwa Mama alikufata Nairobi , alikubali kuonana na wewe Belgium na alimtoa Mbowe Gerezani .

Ebu jiulize haya maswali ?

Mama alienda Nairobi kumuona Lissu kitandani au alienda katika kuapishwa kwa Uhuru Kenyata ndo akapitia Kwa Lissu ?

Je Mama alienda Belgium kuonana na Lissu au alienda katika ziara yake binafsi ya kikazi Kama Rais na ndipo alionana na Lissu?

Je Mbowe kukaa gerezani Kwa mashtaka ya ugaidi ilikuwa halali na je ni Kazi ya Rais kusamehe magaidi wa hii nchi au Mbowe alikamatwa Mwanza katika harakati za kuomba madai ya katiba mpya ndo sekeseke llilianzia pale .

ukija katika wema aliofanyiwa TAL na Serikali je una uhusiano wowote na madai yake ya sasa ya NO reform NO Election.

Paskali Muda wako sasa nadhani umefika kikomo wa kuendelea kuwa mwanahabari mbobezi ili kulinda heshima yako jaribu kuandaa watu wapya ambao watavaa viatu vyako .

Maana naona tangu 2016 haujarudi katika ubora wako.

Asante
Advocate hakosi majibu yako
 
Kwa kweli wanahabari walionyesha udhaifu sana ni kama haya yanayoendelea katika chaguzi zetu hayawaumizi hata kidogo.

Sijajua wametishwa mambo gani ila wengi wako na hofu kubwa sana. Kama Mayala naona alikaza kuonesha wema wa Mama kwa mtu mmojammoja na kuyafukia kabisa maslahi ya taifa ambayo Tundu Lisu alijitahidi kuyaeleza kwa upana sana.

Waomba tusichoke kuomba kwa ajili ya taifa letu na zaidi sana hawa waliyojitolea kuwa sauti ya ardhi hii ya Tanzania.
Mungu yupo upande wetu USHINDI unakuja
 
Kati ya tasnia ambazo zipo hoi, na akili zao zimenyakuliwa na CCM, ni tasinia ya habari.

Wengi wameamua kuwa machawa. Na siku zote, hakuna chawa mwenye akili timamu. Kuwa chawa, ni lazima kichwani uwe umevurugika kwanza.
 
Kwanza Kabisa nampogneza Ndugu Pascal Mayalla kwa kuifanya Kazi yake ya uandishi wa habari Kwa muda mrefu .

Kwa ambao tunamfahamu Pascall Mayalla wa miaka 20 nyuma ni tofauti na huyu wa sasa .

Kuna mambo matatu nimeyaona tangu mwaka 2016 tangu Pascal Mayalla aulize swali mbele ya the late JPM .

• 1 Baada ya kuuliza lile swali tata ambalo sio tu lilimfanya Mayalla kujulikana Ila lilimjengea Sana heshima kubwa kwake Ila inaonekana matokeo ya swali lake hayakuwa mazuri Sana .

Inawezekana alitishwa , inawezekana biashara zake na kampuni yake ilianza kufatiliwa n.k

Baada ya 2016 Pascal Mayalla amepoteza ule weledi wake .

Kosa kubwa alilolifanya ni kujiingiza Katika siasa za Ccm kipindi ambacho Ccm haimuhitaji, na kugombea ubunge wa Kawe pamoja na ubunge wa EAC.

Sasa baada ya kuingia Ccm bado hawampi ile heshima yake Kama Mwanahabari mkongwe na akihitaji Kuwa karibu na Mh bado hawamkubalii kirahisi

Mfano ilivyokuwa kule MBEYA.

Hivyo haya mambo yote anayoyapitia ameshindwa kujua kipi asimamie .

Ukifatilia maswali aliyomuuliza TAL juzi mbele ya Balile hayakuwa na weledi , yaani anachanganya mambo matatu Kwa wakati mmoja na kusahau maslahi ya nchi ni muhimu kuliko maslahi ya TAL

Mfano anamwambia TAL kuwa Mama alikufata Nairobi , alikubali kuonana na wewe Belgium na alimtoa Mbowe Gerezani .

Ebu jiulize haya maswali ?

Mama alienda Nairobi kumuona Lissu kitandani au alienda katika kuapishwa kwa Uhuru Kenyata ndo akapitia Kwa Lissu ?

Je Mama alienda Belgium kuonana na Lissu au alienda katika ziara yake binafsi ya kikazi Kama Rais na ndipo alionana na Lissu?

Je Mbowe kukaa gerezani Kwa mashtaka ya ugaidi ilikuwa halali na je ni Kazi ya Rais kusamehe magaidi wa hii nchi au Mbowe alikamatwa Mwanza katika harakati za kuomba madai ya katiba mpya ndo sekeseke llilianzia pale .

ukija katika wema aliofanyiwa TAL na Serikali je una uhusiano wowote na madai yake ya sasa ya NO reform NO Election.

Paskali Muda wako sasa nadhani umefika kikomo wa kuendelea kuwa mwanahabari mbobezi ili kulinda heshima yako jaribu kuandaa watu wapya ambao watavaa viatu vyako .

Maana naona tangu 2016 haujarudi katika ubora wako.

Asante
Siasa za uchawa zimemuharibu kabisa. Na kwa umri aliofikia sioni akithubutu tena kuwa na hoja za kijasiri.
 
Tanzania bana binafsi sijaona jambo linaloweza kunishawishi kwamba mayala amewahi kuwa kwenye ubora huuo?
Nilimfahamu Kwa kutangaza saasaba na alitangaza kawaida bila maajabu yoyote!
Huyu Pasco mnamsifu kuliko hali halisi embu tujifunze Kwa wenzetu kama maana huwa tunasifia ujinga mwingi
 
Back
Top Bottom