Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,971
- 5,353
Mtayarishaji nguli wa muziki hapa nchini Master J amemuomba msamaha Mfalme wa Bongo Fleva, Alikiba baada ya mahojiano yake aliyoyafanya na Simulizi na Sauti huku akisema kuwa hajawahi kuwa na chuki wala kumkebehi mtu yeyote.
"Hii ya juzi ilikuja nilikuwa nimeonja vitu kidogo na niseme tu mbele yenu naomba Alikiba anisamehe nilikosea" - Master Jay.
"Hii ya juzi ilikuja nilikuwa nimeonja vitu kidogo na niseme tu mbele yenu naomba Alikiba anisamehe nilikosea" - Master Jay.