nimegundua wasanii wa bongo( wenyewe wanajiita mastaa) wengi wao wananunua followers instagram ili waonekane wanakubalika katika jamii. imegundulika hata hao followes ambao wananunua wengi wao ni vivuli hawapo active instagram. staa ana followers 1m lakini kila akiweka post anapata like 2k au 1k, comments 20,50 hadi 200, 300 ndo katisha. wakieka video wanapata views 2k wakijitahidi sana 10k. hali ni tofauti kwa wale mastaa wa nchi za wezetu, star anaweza akawa na followers 600k kila post ana comments kuanzia 500 au 1k au zaidi likes zinaanzia 30k mpaka 70 hadi 100k, wakiweka videos views wanaanzia 100k na kuendelea. mastaa wa bongo acheni ustaa mav.i kunuka. hamkubaliki ndo mana mnanunua followers
Hii ni imani yako tu na wala sio kweli, kawaida followers walio active waga ni wachache sana, na hii inatokana na kwamba silimia kubwa kila mtu akinunua smart phone au simu inayosupport IG mara nyingi hufollow hao mastar ata km hajui kuitumia wala sio mpenzi wa IG, so wengine baada ya kufungua hawaendelei tena kutumia ila anabaki kuwa follower wa mtu flani
Na hao mastar wa nje unaongelea ww ni kina nani? Nina mfano wa star wa nje
1. Justin beiber follwers mil 73 ila likes and views hazizid mil 3
2. Chris brown follwers mil 28 ila likes pamoja na views hazizid laki 8
3. Beyonce follwers mil 76 ila likes hazizid mil 2 na views hazizid mil 7
4. Ariana grande followers mil 77 ila likes hazizid mil3 na views hawazid mil 5
4. Selena gomez followers mil 87 likes hazizid mil 3 na views hawazid mil 11
5. Wizkid hapo jirani, followers mil 2 likes hazizid 60k na views hawafik 100k
So hapo juu nimeweka mastar km wa4 ambao wapo top 10 ya watu wenye followers wengi duniani ila umeona nawao hawapati likes wala views ata theluthi tu ya follwers wao, so issue ni kwamba followers wengi ni wafu na hawako active na wala issue sio kununua followers, mtu anakufolow then baada ya hapo harudi tena kweny page yako na ata km akirudi halike picha wala haviews video zako. Ni hayo tu mkuu