Matokeo ni Siri acha ujinga. Acha uzushi hakuna wakutoa siri mpaka yatangazweWakuu. Hivi punde nimepata habari kua matokeo ya kidato cha sita 2016 yatatangazwa kesho ijumaa, tarehe 08/07/2016. Kwa mujibu wa waziri wa elimu Pro. Joyce Ndalichako, wanafunzi waliosoma masomo ya sanaa waongoza kwa kufaulu....!! Wanafunzi waliofanya mtihani huo wanatakiwa kuwa na subira tu.
Mkopo upo tuhata wakifaulu sana kwenye mkopo ndo kiama chao
Romous ndo nn....?au ulimaanisha rumours..,?jaman................. hakuna anayejua zaid ya wale wanaosahisha.... kwaiyo izo n romous tu
Endeleeni kujipa moyomkopo uko palepale...
Kila mtu atapata mkopo
Jipen moyo cku ukiona mkopo hauna ndo utaaminiEndeleeni kujipa moyo
acha kuvnga unajua sana ambacho hujaelewa hapo nn?Romous ndo nn....?au ulimaanisha rumours..,?
Achen kuwanyanyapaa wanaosoma masomo ya art.Jipen moyo cku ukiona mkopo hauna ndo utaamini
ivo ivo lkn siumeelewa...... usitafute mengine brazaRomous ndo nn....?au ulimaanisha rumours..,?