Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,495
- 4,756
Maslahi ya Tanzania hapo Congo ni yapi?
Rwanda inafahamika maslahi yake hapo Congo sisi wengine tunapeleka Congo vijana wetu kwenda kufia wacongo kwa maslahi yapi kama taifa?
Hii ni dunia ya kibepari isiyotaka maamuzi ya kijamaa hivyo ni vyema tukajua tunaenda kupambania nini Congo?
Bila hivyo itakuwa vitaa kichaa tunapigana
Hivyo ni umuhimu kujua maslahi ya Tanzania kama nchi hapo Congo mpaka kupeleka jeshi letu ni yapi?
PIA SOMA
- Je, ni sahihi Tanzania kuendelea na uhusiano wa kawaida na Rwanda wakati tuko vitani na nchi hiyo DR Congo?