Mkuu hili tatizo linaitwa Tinnitus. Linatokana na sababu tofauti tofauti ikiwemo reaction ya dawa na hata kuugua kwa muda mrefu baadhi ya magonjwa. Vyanzo ni vingi. Ushauri wangu: wahi ukawaone madaktari bingwa wa ENT ufanyiwe uchunguzi zaidi na upate matibabu zaidi.
Kumbuka kuwa matibabu ya Tinnitus yanategemea chanzo na hatua tatizo lilipofikia. Mara nyingi kama tatizo ni kubwa hakuna tiba kamili but mgonjwa husaidiwa kuishi comfortable kwa kumpunguzia mgonjwa kelele na kumuongezea uwezo wa kusikia.