Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,488
- 96,053
Mbunge wa Arusha Mrisho Gambo naona sasa amekalia kuti kavu pale lumumba.
Migogoro mingi na shutuma nyingi amekuwa akihusishwa ndani ya chama na kwa watendaji wa jiji la Arusha itakuwa ni mwiba mkali sana kwake.
Nauona ubunge wake kama upo mikononi mwa wenye chama chao pale Lumimba.
Hapa ndiyo atamkumbuka sana Lema kwa maneno yake yenye kuonyesha kama ni kijukuu cha Shehe Yahaya Husein.