Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,978
- 6,232
Mashirika yanayopaswa kubinafsishwa au kufanya PPP yaani Public Private Partnership haraka iwezekanvyo kwa sababu yameshindwa kuwa na tija kwa taifa kwa muda mrefu huku wakitoa Altered data za utendaji but deep down mashirika haya yamekosa tija na mchango kwa taifa lenye watu 65M ;
haya mashirika ni kama sehemu ya watu kupiga hela na kuondoka, reforms in collaboration na private partnership au full investment privatisation ni mandatory;
1. TANESCO
2. TBA
3. NHIF
4. NHC
5. TRC
6. TANROADS
7. TARURA
8. ATCL
9.MSD
10. TPA
11. CBT
12 FIRE & RESCUE FORCE
13 GPSA
Kwa mfano uwekezaji aliofanya Samia wa TPA ni idea nzuri lakini procedural na implementation yake ni idea mbaya na hailengi Value for Money na Samia anatakiwa kushitakiwa na kufungwa.
Kama tulitamani kupata mwekezaji wa TPA which is good thing anaekuja ku improve EFFICIENCY na EFFECTIVENESS ya OPERATIONS zote za bandari tulipaswa kutangaza Tender kisha tupate offer tofauti za tenderers.
kwenye Tender Document tunaweka mashariti ambayo ni favorable kwa Tanzania for atleast 60% ndivyo nchi zilizoendelea zimefanya hivyo taking advantage ya natural resources zao.
Lakini mchakato mzima wa TPA ni wa kihuni, dealers wawili wamekaa kwenye Meza huko Dubai na kunegotiate terms on behalf of 66Mil people tena kwa siri bila ya kuangalia maslahi mapana ya TZ in the long run.
SAMIA anapaswa kushitakiwa kwa kukiuka Taratibu za Ununuzi wa Umma na Kanuni zake.
Uwekezaji wa Taifa haupaswi kuwa siri au one man show, siri na one man show ndio chanzo cha mikataba ya kipuuzi: alianza Ben , akaja JK , ngosha akajaribu kufix fix here and there , AKAFA.
Samia ni continuation ya Ben na JK, it is higher time now watanzania msimame kulinda mali zenu kwa sababu hamjawahi kuwa na SMART leaders, most of the academic failures ndio viongozi wenu.
Ili tuweze kutoboa , tunatakiwa kufanya ubinafsishaji au kufanya kitu inaitwa PPP-Public -Private - Partnership. Wenyewe kama wenyewe hatuwezi na tumeshindwa over 60 years , tukubali hapo kwa kuzingatia sheria za ununuzi wa umma badala ya kuwa na one man show na usiri. Kila kitu kiwe transparent, fufanye tendering, tupate the most competitive bidders with value for money .
Alisikika Mchokonozi