Mashine ya kupukuchua mahindi inahitajika

Tumwesige senior

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
3,948
7,267
Nahitaji mashine ya kupukuchua mahindi

Kama wewe ni mtengenezaji au muuzaji wa mashine hizo weka picha,bei na sifa za mashine tufanye biashara

ASANTE
 
Kila mmoja naomba apeleke ubunifu huu wa kijijini kwake ikawasaidie watu wasiumize mikono kupukuchua mahindi toka kwenye magunzi.
Kifaa hiki kimetengenezwa na vizibo vya soda misumari na ubao.
Huu ni ubunifu toka China kwa gharama nafuu kabisa.

View attachment 3284201
Tukiwa wabunifu umasikini unakimbia

 
Back
Top Bottom