Mashine ya kukatia majani ( Grass Chopping Machine) inauzwa

joackagrovet

Member
Sep 11, 2024
9
7
MASHINE YA KUCHAKATA MAJANI | GRASS CHOPPING MACHINE | CHAFF CUTTER

Call/Text/WhatsApp: +255 712 25 31 02

joackcompany @kilimo_tz @mifugo_tz joackagrovet @joackanimalclinic @joackbagamoyo

Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)

Ofisi zetu zipo Tegeta Wazohill-Dar es salaam na Bagamoyo.

SIFA NA BEI ZA GRASS CHOPPING MAHINE
0.5 tone per hour Bei ni 1,400,000/=
1.0 tone per hour Bei ni 1,500,000/=
1.0 tone per hour Bei ni 2,000,000/= - Two fuction
3.5 tone per hour Bei ni 2,200.000/=
4.5 tone per hour Bei ni 2,500.000/=
4.5 tone per hour Bei ni 2,800.000/= - Two fuction
6.5 tone per hour Bei ni 8,500.000/=

Zipo mashine zinazotumia petrol au Disel, bei huwa tofauti

GRASS CHOPPING MAHINE ni mashine zinazo tumika kuchakata (kukatakata) majani kwajili ya mifugo hasa ng'ombe.

Hizi mashine zinauwezo wa kukatakata majani marefu na pana ili kuwa vipande vidogo vidogo kama chips.

Faida za kuchakata majani kuwa katika vipande vidogo ni nyingi sana, ambazo ni kama;
1. Husaidia umeng'enywajwi wa chakula kwa haraka.
2. Unawaza kuchanganya majani na molasses ya maji kwa hurahisi.
3. Ng'ombe hula majani ya kutosha maana hatumii muda mwingi kutafuna.
4. Yanaongeza ukuaji na uzalishaji wa maziwa.

Mashine hizi zinapatikana JOACK Company LTD, na kwa wateja wa mikoani mzigo unatumiwa mpaka mahali ulipo, Kwa gharama nafuu na uwaminifu mkubwa sana.


Office zetu zipo @TegetaWazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa

Simu:
+255 712 25 31 02 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63

Email:
mifugotz@gmail.com

#joackcompany #daresalaam #tanzania #daktariwamifugo #hospitalyamifugo #hospitalyawanyama #animalhospital #matibabuyamifugo #matibabuyawanyama #clinicyamifugo #tanzania🇹🇿 #doghospital #dogclinic #tanzania #madawa #madawayamifugo #dodoma

JOACK Company LTD | DSM & Bagamoyo
 

Attachments

  • Jugaad_Chaff_Cutter__#farmlife_#farmer_#sandhuagrofarm_#agriculture_#trending_#chaffmachine_#c...mp4
    8.9 MB
Back
Top Bottom