Mashindano ya kumtafuta bingwa wa draft Tanzania 2022

hamis77

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
12,505
20,061
1. SIFA ZA WASHIRIKI

1. Mshiriki awe raia wa Tanzania.

2. Mshiriki awe ameshawahi kucheza ligi tofauti tofauti kubwa zilizowahi kuchezwa miaka ya hivi karibuni (2020-2022)

3. Awe amepitishwa na mkoa wake

4. Kabla ya kuingia kwenye mashindano lazima mchezaji athibitishe uwepo wake kabla ya tarehe 16.07.2022.



2. ZAWADI

1. PIKPIKI (2,000,000Tsh)
2. 700,000Tshs
3. 400,000Tsh
4. 200,000Tsh

MIKOA ITAKAYOTOA WACHEZAJI ( mikoa ya kidraft )


1. KILIMANJARO
2.SINGIDA
3.ZANZIBAR
4. MOROGORO
5. NJOMBE
6. ARUSHA
7. TANGA
8. DODOMA
9. IRINGA
10. MBEYA
11. SONGEA.
12. KINONDONI
13. ILALA
14. TEMEKE
15. KIGAMBONI
16. UBUNGO





MAKUNDI YATAKUWA KAMA IFUATAVYO



KUNDI A

1. NDULI
2. MJAPE
3. SAIYA
4. MOROGORO
5. ZANZIBAR
6. MBEYA
7. PLAY OFF

KUNDI B

1. AMANI SIRI
2. NYEMI
3. DG ATHUMAN
4. ARUSHA
5. IRINGA
6. PRO NASSOR
7. SONGEA( PLAY OFF)

KUNDI C

1. ISSA
2. KATOTO
3. DG ALLY
4. SONGEA
5. ARUSHA
6. MALDINI
7. NJOMBE ( PLAY OFF)

KUNDI D

1. SISCO
2. KIWEMBE
3. SWEDI
4. DG HAMISI
5. TANGA
6. DODOMA (PLAY OFF)
7. PLAYOFF

KUNDI E

1. NOEL
2. DG SHUKU
3. ALLY WHITE
4. MWARABU SPEAR
5. MOROGORO
6. SAIDI MAZIWA
7. PLAYOFF

KUNDI F

1. RONALDO
2. DG YASSIN
3. MTANGA
4. ZANZIBAR
5. TANGA
6. MBEYA(PLAY OFF)
7. PLAYOFF

KUNDI G

1. SIMBA
2. GAIDI
3. MBOMA
4. CHAULA
5. SINGIDA
6. MOSHI
7. JAMES MAPIGO

KUNDI H

1. JOHN KIPAJI
2. DG. JANJA
3. DG JAFARI
4. KWATA MWIVI
5. MASUDI
6. SHIZA
7. IRINGA ( PLAY OFF )

NB: PLAYOFF ni mlango ambao umeandaliwa kwa wachezaji ambao hawajatambuliwa na mikoa yao ila wanadhani wana nguvu na uwezo wa kushiriki mashindano ya kumtafuta bingwa wa draft Tanzania ambapo endapo watafuzu watapaswa kujigharamia nauli na malazi.


DATA ENTRY ANALYST.

1. Jon loso
2. Dr. Emmanuel



MAKAMISAA


1. King Tofutofu- ( Kiongozi )
2. Fide ( Msaidizi )
3. Kocho
4. John Hugo
5. Charles Makofia
6. Cortinho
7. Backer manyanya
8. Richie ( Kitunda )
9. Haji Ngua
10. Ally Dogo
11. Mtanga
12. Tedbear-HAHA
13. Mood Mapeasi
14. Chande
15. Yusufu
16. Bad boy

Reserves




WAPIGA PICHA


1. Mkorea ( Manyanya )
2. Stanley ( Kitunda )
3. Dogo Hansi
4. Rilo

MRUSHA MATANGAZO kuanzia NUSU FAINALI
-LIVE YOUTUBE - Adolph
-PROJECTOR/TV ukumbini -
Juma Madevu



SHERIA ZA MASHINDANO KUMTAFUTA BINGWA WA DRAFT TANZANIA 2022.

1. Kufikiria sekunde 60 + Kumi za kuesabu baada ya hapo kamisaa atavuruga bao na kumpa mpinzani ushindi

2. Ikitokea umeshangilia hadi bao kuvurugika basi kamisaa atamkabidhi ushindi mpinzani wako.

3. Mchezo ukishaanza lazima uishe kwanza ndo ruhusa ya kwenda chooni itatolewa.

4. Hairuhusiwi kutumia simu wakati mchezo unaendelea.

5.Mwenye kingi moja anamamlaka ya kumvalisha mwenye kete tatu popote pale.

6. Mchezo au steps zitakazojirudia rudia mfano tatu gomea nk basi yule anayetafuta kushinda atapewa dakika tano tu endao ile kete ikishatoka step moja basi mchezo utaendelea kama kawaida.

7. Mfumo wa uchezaji kwenye Hatua ya Mtoano ( yaani 32 ) itapigwa Omary John Mshindi akipatikana mchezo umeisha, ila kama hawajafungana watacheza tege mbili ( 2 ) za muda wa kawaida nazo zikiisha sare, ndipo zitapigwa tege nne ( 4 ) goli la dhahabu mtu atakapofungwa mchezo utakuwa umeisha lakini endapo nazo zitaisha bila mshindi kupatikana sasa wataongezewa tege kwa goli la dhahabu huku wakipunguziwa muda kwa sekunde kumi tu hadi mmoja afe.


8. Kwenye Makundi endapo wachezaji watafanana points
Vitaangaliwa vigezo cmvifuatavyo
1. Tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa
2. kigezo cha matokeo yao walipokutana ( Head to Head )
3. Idadi ya magoli ya kufunga mwenye mengi ataenda
4. Kama kote huko wamefanana basi italazimika mechi ichezwe tena kati ya hao waliofanana.

9. Kitendo /vitendo vitakavyoashiria ushirikina haviruhusiwi katika mashindano na endapo mchezaji atabainika kujihusisha navyo na kamati ikijiridhisha anaweza kuondolewa katika mashindano.

10. Mchezaji hataruhusiwa kuwekea kete kivuli au kuashiria kucheza kete fulani, hesabu zote zipigwe nje ya uwanja, endapo kamisaa atajiridhisha kwamba imejengewa kivuli atakiwa kuicheza kete hiyo.

11. Endapo Mchezaji akichelewa kwa zaidi ya muda uliopangwa kamati itawasubiri kwa muda wa nusu tu, baada ya hapo atakuwa amejiondoa mwenyewe kwenye mashindano mpinzani wake ataendelea round inayofuata.




MFUMO WA UCHEZAJI
( hatua ya makundi )

Kwenye mzunguko kutakuwa na makundi manane (8) na wanatakiwa kupita wachezaji wanne (4) kila kundi,,

Katika kila kundi wachezaji watakutana wote yaani kila mchezaji atacheza na kila mchezaji mwenzake kwenye kundi lake,,


Kwenye Makundi michezo ni minne tu Yaani miwili kawaida na miwili tege.


Baada ya Hatua ya Makundi kuisha Utaratibu ufuatao utatumika:-


BEST 32 ROUND

Mechi A1B4
A1 vs B4

Mechi A2B3
A2 vs B3

Mechi A3B2
A3 vs B2

Mechi A4B1
A4 vs B1

Mechi C1D4
C1 vs D4

Mechi C2D3
C2 vs D3

Mechi C3D2
C3 vs D2

Mechi C4D1
C4 vs D1

Mechi E1F4
E1 vs F4

Mechi E2F3
E2 vs F3

Mechi E3F2
E3 vs F2

Mechi E4F1
E4 vs F1

Mechi G1H4
G1 vs H4

Mechi G2H3
G2 vs H3

Mechi G3H2
G3 vs H2

Mechi G4H1
G4 vs H1

BEST SIXTEEN ROUND👇🏻👇🏻

MECHI NAMBA BS1
Winner A1B4 vs Winner C3D2
[A1 vs B4] vs [C3 vs D2]

MECHI NAMBA BS2
Winner A2B3 vs Winner C4D1
[A2 vs B3] vs [C4 vs D1]

MECHI NAMBA BS3
Winner A3B2 vs Winner C1D4
[A3 vs B2] vs [C1 vs D4]

MECHI NAMBA BS4
Winner A4B1 vs Winner C2D3
[A4 vs B1] vs [C2 vs D3]

MECHI NAMBA BS5
Winner E1F4 vs Winner G3H2
[E1 vs F4] vs [G3 vs H2]

MECHI NAMBA BS6
Winner E2F3 vs Winner G4H1
[E2 vs F3] vs [G4 vs H1]

MECHI NAMBA BS7
Winner E3F2 vs Winner G1H4
[E3 vs F2] vs [G1 vs H4]

MECHI NAMBA BS8
Winner E4F1 vs Winner G2H3
[E4 vs F1] vs [G2 vs H3]

QUARTER FINALS👇🏻

MECHI NAMBA QF1
Winner BS1 vs Winner BS5
[A1B4 vs C3D2] vs [E1F4 vs G3H2]

MECHI NAMBA QF2
Winner BS2 vs Winner BS6
[A2B3 vs C4D1] vs [E2F3 vs G4H1]

MECHI NAMBA QF3
Winner BS3 vs Winner BS7
[A3B2 vs C1D4] vs [E3F2 vs G1H4]

MECHI NAMBA QF4
Winner BS4 vs Winner BS8
[A4B1 vs C2D3] vs [E4F1 vs G2H3]

SEMI FINALS👇🏻👇🏻

MECHI NAMBA SF1
Winner QF1 vs Winner QF3
[BS1 vs BS5] vs [BS3 vs BS7]

MECHI NAMBA SF2
Winner QF2 vs Winner QF4
[BS2 vs BS6] vs [BS4 vs BS8]

THIRD RUNNER👇🏻👇🏻
Looser SF1 vs Looser SF2

FINAL👇🏻👇🏻
Winner SF1 vs Winner SF2

Hatua ya Mtoano Zitapigwa Omary John kwa kufuata sheria namba 7 hapo juu


Wachezaji wa mikoani wafike Dar es salaam siku moja kabla ya mashindano tarehe 4.8.2022

Ligi Itaanza Rasmi Siku ya Ijumaa tarehe 5,6,7 Mwezi wa nane 2022, Saa mbili kamili Asubuhi kwenye Ukumbi wa Java Lounge Kitunda ulioko barabara ya kitunda kuelekea Kinyantila, na Siku ya kwanza kutakuwa na ufunguzi wa mashindano ambapo Tunatazamia kuwa na mgeni rasmi ( Waziri/Naibu Waziri, Mkuu wa Mkoa/Wilaya ama Mbunge ) Atafungua mashindano rasmi.
 
Wapi huko ndugu?mafund wote TZ lazima wachujwe pale Manyanya kinondon ,unakutana na waratibu kina Magwelele
Nadhani manhwerere ndio icon ya madraft hapa bongo

Sehemu yeyote ile ambapo watu wanacheza draft lazima wanajua jina la mangwerere.

Hao kima sisco, meno ya mamba, yassin ronaldo hawajulikani sana

Sema hapo kuna mwamba kutoka njombe anaitwa noeli sijamuona kwenye list
 
Back
Top Bottom