Masharti yapi ulikutana nayo kwenye Nyumba ya kupanga ukaghairi kulipa kodi?

Sitaki kabisa utamuulizaje mtu wewe ni dini gani? Kwani Tanzania sisi weusi tuna dini ngapi maana usipokuwa mwisilam lazima utakuwa mkristo sasa kuna haja gani tena ya kumuuliza mtu dini yake wakati asipokuwa mkristo bas ni mwisilam
Kwahiyo mkuu wewe ukiwa na wapangaji sharti gani hutoliweka?
 
Wakuu salama?

Leo kwenye pita pita zangu nikakutana na watu wanalalamika masharti ni mengi sana kwenye nyumba waliyotaka kuhamia na hivyo ikawapalekea kutokulipa kodi kutokana na mashrti kuwa mengi.

Masharti gani wewe ulikutana nayo ukaghairi kupanga nyumba hiyo?
Kwenda chooni mara moja Marufuku kucheka usiku Marufuku kula pilau, marafuku kitanda kulia Lia usku
 
Mi niliingia kabisa...ila kuona mwenye nyumba kilasiku kuja kupiga story kwangu...nikaona eenhee
Nishazoea upweke...hata nikiwa na wanangu wanajua sipendi kelele....kulala na mtu kitanda kimoja huku tumekumbatia kwangu mtihani...
Afu nifanye kazi ya kumsikiliza mtu umbea wake from A to Z....aweee 🥴🙌

Jamani,mi sitaki kelele hata wanafunzi wangu wanajua hilo...kelele sitaki.😔
 
Mwenye nyumba hakuwa na kazi?
 
Back
Top Bottom