Pastor Achachanda JF-Expert Member May 4, 2012 3,023 1,315 May 21, 2017 Thread starter #3 kaseva said: Pastor church huendi leo? Click to expand... Ndio tumetoka church sisi tuna ibada mbili saa kumi alfajiri hadi saa kumi na mbili. Na ya pili saa kumi jioni hadi kumi na moja na nusu
kaseva said: Pastor church huendi leo? Click to expand... Ndio tumetoka church sisi tuna ibada mbili saa kumi alfajiri hadi saa kumi na mbili. Na ya pili saa kumi jioni hadi kumi na moja na nusu
kaseva JF-Expert Member Mar 19, 2016 473 305 May 21, 2017 #4 Pastor Achachanda said: Ndio tumetoka church sisi tuna ibada mbili saa kumi alfajiri hadi saa kumi na mbili. Na ya pili saa kumi jioni hadi kumi na moja na nusu Click to expand... Amen baba mtumishi, Ebu nialike kanisani kwenu mtumishi, liko wapi linaitaje?
Pastor Achachanda said: Ndio tumetoka church sisi tuna ibada mbili saa kumi alfajiri hadi saa kumi na mbili. Na ya pili saa kumi jioni hadi kumi na moja na nusu Click to expand... Amen baba mtumishi, Ebu nialike kanisani kwenu mtumishi, liko wapi linaitaje?
Maarifa JF-Expert Member Nov 23, 2006 4,568 2,916 May 21, 2017 #5 Pastor kweli MTU Wa imani. Nimekukubali
Pastor Achachanda JF-Expert Member May 4, 2012 3,023 1,315 May 21, 2017 Thread starter #6 kaseva said: Amen baba mtumishi, Ebu nialike kanisani kwenu mtumishi, liko wapi linaitaje? Click to expand... Kanisa lipo huku Kitombo linaitwa "THE NIGHT MIRACLE MINISTRY"
kaseva said: Amen baba mtumishi, Ebu nialike kanisani kwenu mtumishi, liko wapi linaitaje? Click to expand... Kanisa lipo huku Kitombo linaitwa "THE NIGHT MIRACLE MINISTRY"
Pastor Achachanda JF-Expert Member May 4, 2012 3,023 1,315 May 21, 2017 Thread starter #7 Maarifa said: Pastor kweli MTU Wa imani. Nimekukubali Click to expand... Barikiwa Maarifa. Karibu huku Kitombo
Maarifa said: Pastor kweli MTU Wa imani. Nimekukubali Click to expand... Barikiwa Maarifa. Karibu huku Kitombo
HARUFU Platinum Member Jan 21, 2014 31,561 48,230 May 21, 2017 #8 Nilichokikuta na nilichokuwa nikikifikiria kabla ya kufungua huu Uzi ni tofauti. Acha tu