Mashamba bado yapo Morogoro

bigjeff

Senior Member
Oct 25, 2009
111
22
Mashamba bado yapo Morogoro maeneo ya Kiegea(bwawani) barabara ya gari hadi shambani,maji yapo,ardhi safi tuwasiliane kwa namba hii 0716792692
N:B nawashukuru tuliofanya nao biashara mnaweza kutoa comments zenu thnks Charles Prosper Lyimo,Juma Husssein,Hamisi Salehe na wengine mlionyesha interest ya hapo baadae.Bei ya kuanzia kwa heka 70*70=350,000 maongezi yapo
 
naomba unipe utaratibu hadi namiliki hilo shamba ni hatua zipi wewe muuzaji utapitia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…