Mashabiki wengi wa Simba wanaongoza kwa MAJUNGU na WIVU

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,900
6,475
Sijui ni kwanini.

Yaani hata iwe mitaani ukisikia familia imegombana ujue chanzo ni jungu lililotengenezwa na jirani shabiki wa Simba.
Iwe ni kazini/ofisini ukiona ghafla Boss anakuchukia ujue tayari kuna Kolo katengeneza jungu.

Jamaa huwa hawapendi kuona mwingine akistawi. Na ndio maana mitandaoni ndio wanaoongoza kuichafua Yanga hasa wanapoona inafanikiwa.
 
Ongezea na roho mbaya tena ile inayotoka moyoni na sio maigizo
 
Uongo mtupu,huo utafiti wako umeufanyia wapi?hiyo ipo kwa pande zote mbili hakuna shabiki wa yanga anapenda kuona simba inafanikiwa,hivyo hivyo upande was simba,Sasa wewe umeweka ushabiki mbele,rudia hiyo research yako upya
 
Kwani wale waliokuwa wakipokea wageni Simba ikicheza ligi ya mabingwa ni timu gani, waliokuwa wakieneza uzushi Simba inapulizia dawa kwenyevyumba vya wachezaji ni nani,ambao kiongozi wao alikuwa akivaa jezi za timu pinzqni na Simba ni nani?
Ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu.
 
Katika timu imejaa wapumbavu...wajinga na wasio na akili ni nyuma mwiko...
Wachawi..roho mbaya n.k
Angalia sakata la faini walivyolivalia njuga wamesahau hata ajenda yao ya msingi ya jmosi...
 
Sijui ni kwanini.

Yaani hata iwe mitaani ukisikia familia imegombana ujue chanzo ni jungu lililotengenezwa na jirani shabiki wa Simba.
Iwe ni kazini/ofisini ukiona ghafla Boss anakuchukia ujue tayari kuna Kolo katengeneza jungu.

Jamaa huwa hawapendi kuona mwingine akistawi. Na ndio maana mitandaoni ndio wanaoongoza kuichafua Yanga hasa wanapoona inafanikiwa.
Kweli kabisa.
 
Back
Top Bottom