vvvv
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 406
- 717
Ni aibu mashabiki mechi kubwa kuingia dezo,uongozi wa Yanga umekuwa ukiamini mashabiki wao bila kiingilio kuwa bure hawezi kuingia uwanjani, kwanini wanapenda bure? Mechi kubwa kama hii kama ni bure je kwenye mechi ndogo ndogo hawa mashabiki wataenda uwanjani?
Kitu ukitolea jasho na gharama huwa unaithamini, sasa kuna tofauti gani na ng'ombe kuingizwa kwenye zizi?
Yanga hawana standard vitu wanavyofanya, unajisikiaje timu unayopenda unaenda kuingia bure kama ng'ombe.