ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 8,573
- 19,873
Mashabiki wa Simba wamepaza Sauti na kuhoji kama michango iliyoitishwa na Meneja Habari wa klabu hiyo kama ililipwa kama lilivyokuwa kusudio
Kimsingi kama timu inashiriki mashindano ya CAF, timu hiyo ikitozea faini pesa hiyo Huwa inakatwa kwenye pesa ambayo wangelipwa, wala haina haja ya timu kuchangisha hela,
Huu ni utapeli wa wazi, ambao uongozi umewafanyia mashabiki, Simba haikupeleka pesa CAF Bali walikatwa kwenye sehemu ya malipo yao
Soma Pia: Klabu ya Simba imefungiwa na CAF kucheza bila mashabiki na faini zaidi ya TSh. Milioni 100
Tukumbuke kuwa kipindi cha CEO Babra, waliitisha michango ya kujenga Uwanja na mashabiki wa Simba walichanga zaidi ya billion 3
Walipohoji kuhusu hizo fedha waliambiwa ati wamejenga ukuta wa uwanja wa Bunju
Hivi pale Bunju Kuna ukuta wa billion 3
Rage aliwaita Wanachama wa Simba mbumbumbu, tuna amini kuwa Rage aliona mbali