TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,599
- 23,886
Wakati wa round ya pili alionekana kuweza kumudu mpinzani wake Imane Khelif ambaye anadai kuwa ni mwanamke, hapo awali alifeli mtihani wa jinsia baada ya kugundulika kuwa na kromosomu za XY za kiume.
Pamoja na hayo bado alipewa ushindi kwa kichapo alichompa mpinzani wake hadi kumchana pua.
Mashabiki wa mchezo huo waliohudhulia pambano hilo wamemkingia kifua, mwanamke mwenzao aliyepigwa kwamba "Jamaa huyu kaondoa ndoto ya mwanamke aliyempiga, hivyo ppigie kura Trump ili tukomeshe wazimu huu"
Mwingine akasema "hakuna mwanamme anayeruhusiwa kupigana mwanamke kwenye michezo hii