Mashabiki wa Kaizer Chiefs: Tutawaunga mkono Yanga washinde ushindi wa kishindo Tanzania na hapa nyumbani

Zouzoutz

JF-Expert Member
Feb 26, 2024
1,883
2,722
Mashabiki wa timu ya Kaizer Chiefs imetangaza kuisapoti timu ya Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns katika mechi zote mbili

Mashabiki hao wamesema wanataka kuona soka safi la Yanga linalovutia likiwafundisha adabu Masandawana

Wametangaza kuwa wapo tayari kutoa msaada wa Hali na Mali,wa kamati za kiufundi na kifedha Yanga washindwe wao tu

Kuna Yellow Nations Moja tu Afrika nayo ni Dar Young Africans

Waleteni hao watoto wa madiba

Vamos Yanga

Screenshot_20240313-185201.png

Vamos YangaView attachment 2933670View attachment 2933670
Mkuu, yaani comment ya mshabiki mmoja ndio unaifanyia conclusion hadi unaanzisha uzi? Mbona hapo hapo kuna shabiki mwingine amecomment kuwa mashabiki wa Simba wapo tayari kuisupport Sundows, unataka kusema ni kweli mashabiki wa Simba wamekubaliana kufanya hivyo? Hayo maoni ni ya mtu mmoja mmoja, ni ya kuyachukulia kama majigambo tu

1710346977621.png
 
View attachment 2933674
Hivyo ya Simba iweke wewe,
Miye nipo na Kaizer Chiefs
 
Waulize hao kaizer Chiefs pamoja na wao kuwa washabiki wengi kuzidi wa Sundowns Huwa kinatokea Nini wakikutana na the Brazilians?

Mamelodi hawasumbuliwi na kelele za mashabiki quality yao ipo juu kuzidi vilabu vingi Afrika hii.

Wapeni heshima na Yanga itabidi acheze kwa tahadhari, hao siyo Medeama jamani!
 
Kama sisi Yanga tusivyosumbuliwa na kelele za mashabiki mambumbumbu ndio maana tunawatwanga watu 4G na 5G bila kujali utaifa wao wala rangi.
 
Tangu draw ifanyike jana ni mechi moja tu inazungumziwa midhili ya fainali bila shaka fainali imekuja mapema Tanzanian champion v South African champion .
 
yani utasema wengine hawapo! naona hata CAF wanajiuliza

Mashabiki wa KAIZA NA ORLANDO wanaichukia sana mamelodi hata juzi walikua na derby yao majamaa wakaidhihaki kwamba derby gani sasa
 
Mashabiki wa timu ya Kaizer Chiefs imetangaza kuisapoti timu ya Yanga dhidi ya Mamelodi Sundowns katika mechi zote mbili

Mashabiki hao wamesema wanataka kuona soka safi la Yanga linalovutia likiwafundisha adabu Masandawana

Wametangaza kuwa wapo tayari kutoa msaada wa Hali na Mali,wa kamati za kiufundi na kifedha Yanga washindwe wao tu

Kuna Yellow Nations Moja tu Afrika nayo ni Dar Young Africans

Waleteni hao watoto wa madiba

Vamos Yanga

View attachment 2933670View attachment 2933670
hizo ni timu ambazo hazipatani
 
Tangu draw ifanyike jana ni mechi moja tu inazungumziwa midhili ya fainali bila shaka fainali imekuja mapema Tanzanian champion v South African champion .
Kabisa mkuu

Wanasimba wameisahau mechi Yao aisee
 
Back
Top Bottom