Mashabiki wa Chlesea wawazomea wachezaji wao. Wawaita 'rats' !

TheDealer

JF-Expert Member
Nov 19, 2012
2,424
1,130
Huku chelsea ikiichapa club iliyopo mkiani katika msimamo wa EPL sunderland 1 - chelsea 3 mashabiki wa chelsea wamewazomea wachezaji wao wakiwaita 'rats'.

Three rats wakiwa ni Diego, Hazard na Cesc wameongoza kwa kuzomewa zaidi kuliko wachezaji wengine. Hii inaonyesha wazi kuwa mashabiki wengi hawajakubaliana na kilichomtokea the special one!
 
hao wapuuzi walikua wanaihujumu timu

Kama chelsea iki perform hao wachezaji watakuwa wameweka rekodi mbaya sana katika maisha yao ya soka. Usaliti kwa kocha wao, usaliti kwa bosi wao, na kwa mashabiki wao!
 
Kama chelsea iki perform hao wachezaji watakuwa wameweka rekodi mbaya sana katika maisha yao ya soka. Usaliti kwa kocha wao, usaliti kwa bosi wao, na kwa mashabiki wao!
Usaliti ni dhambi mbaya sana na kama ni kweli itawatafuna kwa muda wao uliobakia katika soka.
Kama wanabisha waje wamuulize ZZK

 
imewagharimu au haijawagharimu? Mou alisema kuwa kuna betray
 

Mashabiki wa Chelsea sijui tuwaite mambumbumbu au mambulumbu au nini sijui.

Benitez aliwawezesha kuwa top 4 na akawapatia Europa League trophy juu lakini walikuwa wakimzomea. Kwa sababu za kitoto tu.


Haya, Mourinho ameondoka timu inaanza kufanya vizuri wao wanazomea. Kwa sababu zilezile za kitoto.

Hii sasa ni zaidi ya nini sijui!!
 

Benetez hakuwa na mizizi Chelsea he was not the legend but the old enermy.

Mou ni legend .

Alikuwa betrayed pale darajani na some senior and Powerful players

Huo ndio ukweli.
 
Benetez hakuwa na mizizi Chelsea he was not the legend but the old enermy.

Mou ni legend .

Alikuwa betrayed pale darajani na some senior and Powerful players

Huo ndio ukweli.
You're simply not getting it.

No matter whose fault it was, Mourinho was taking Chelsea down and change was inevitable. Can't you see that?
 
Mi yangu macho jamaa ndio yule anaenda man lazima atukanyage mpk bas
 

Attachments

  • 1450717557390.jpg
    38.6 KB · Views: 307
STUPID PEOPLE BETRAYED MOURINHO.

Dr Eva Carneiro is a beautiful woman but very stupid! On 8th August, when Chelsea were playing against Swansea, Dr Eva was supposed to know that Chelsea were only nine men on the pitch. So she was supposed to communicate with the coach that Eden Hazard will never continue playing, and should be substituted! Instead of communicating, Dr Eva was just wasting time by pampering and petting Hazard who was simply tired, not injured. Mourinho was right to fume, and speak the truth.

This caused Dr Eva to retreat from her duty. Chelsea players are stupid because they love Dr Eva Carneiro more than the Coach Jose Mourinho, even than the Club. The stupid players followed their stupid Dr to betray the club. They started a campaign of playing stupidly so that to hurt Mourinho. The forwards feet were too fragile to score a goal. The backs feet were too fragile to defend a goal! Very stupid indeed.

Eventually, the stupid's deal was done. The special one was not only fired but also hurt, humiliated as well as devastated!

As a very submissive fan of Jose Mourinho I share the pain. Though I will remain a fan of The Blues, my eyes will be stuck on Mourinho's business out of Chelsea. I believe one day the master will mount to peak of football arenas!

After the departure of the special one at the Stamford Bridge the stupid players are said to return to the winning ways. The match against Sunderland was a punishment to Mourinho. Even on boxing day the stupid players will punish Mourinho. They now play hard in order to punish Mourinho. These are stupid players motivated by the action of a stupid Doctor. Stupid again, OK?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…