Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 1,459
- 3,789
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake wa CCM (UWT) Taifa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa (MCC) Mary Pius Chatanda ameshiriki zoezi la ujenzi wa nyumba ya Maria Ngoda maarufu kama 'Mjane wa Nyama ya Swala' nyumba ambayo inajengwa kutokana na jumuiya hiyo kutoa kiasi cha fedha kwa ajili ya mkono wa pole kwa mjane huyo.
Ikimbukwe Maria Ngoda alihukumia kutumikia kifungo cha miaka 22 jela baada ya kukutwa na nyara za Serikali vipande 12 vya nyama ya swala lakini baadye aliachiwa huru kwa kushinda rufani.
Ikimbukwe Maria Ngoda alihukumia kutumikia kifungo cha miaka 22 jela baada ya kukutwa na nyara za Serikali vipande 12 vya nyama ya swala lakini baadye aliachiwa huru kwa kushinda rufani.