Marks za maths iv umri wa kuishi: tungeambiwa age ni kwa marks za math mock, nani angekuwa hai?

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,463
Tungesema mtiani wa mwisho ila marks huwa haziwekwagi wazi sasa tujiulize kwa ule wa mkoa tu, nani angekuwa hai?
Wakuu mi kusema la ukweli ningeshaondoka kitambo sana
 
Mkuu mi pamoja na ukilaza wangu nahisi bado ningekwepo maana nilipata nyingi nikataka kuandamana washkaji wakasema potezea tu bro
 
Tungesema mtiani wa mwisho ila marks huwa haziwekwagi wazi sasa tujiulize kwa ule wa mkoa tu, nani angekuwa hai?
Wakuu mi kusema la ukweli ningeshaondoka kitambo sana

Mimi mngeshanizika zamani sana Mkuu kwani nilikuwa nikijitutumua sana basi lazima nitakoromije bashite tu katika Mathematics subject.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…