Mark 2 Grande Gx 110 aka Jini Mkata Kamba

Samatime Magari

Senior Member
Feb 10, 2017
117
450
1657779389830.png

.
Hii ni moja ya sedan za Toyota nzuri kuwahi kutokea, huyu na Crown ni kama wanashare Baba sema Mama tofauti, Hii ndo zile gari unasikiaga zinakopa speed yani zinafika 180 hafu mshale unaenda mbele zaidi, kaa vizuri ule madini..
.
Mark II kama Mark II ina generation 9 ni gari flani old school iko kwenye game toka 1968-2007, G 1 imetoka 1968-1972 coded T60 na T70, G 2 1972-1980 coded X10 na X20, G 3 1976-1980 coded X30 na X40, G 4 1980-1984 coded X60, G 5 1984-1988 coded X70, G 6 1988-1995 coded X80..
.
G 7 1992-1996 coded X90, G 8 1996-2000 coded X100 na G 9 2000-2007 coded X110, Sasa hivi vizazi vyote ndo unakutana na gari kama chaser, cressida na qualis, kina baloon nk, Nafikiri wahenga haya majina sio mageni kwenu ni gari flani tumezitumia sana miaka ya nyuma..
.
1657779549237.png
1657779581828.png
1657779607361.png
1657779634068.png

.
Kwa sasa nitaenda direct to GX110 iliyotuleta hapa ambayo ndo generation ya 9 [2000-2004 kwa sedan na 2002-2007 kwa wagon maarufu kama Mark II Blitz]. GX110 by the time inaingia sokoni 2000 ilikua moja ya mid sized sedan nzuri ikiwa kama luxurious car Kitoyota toyota...
.
1657779822821.png
1657779852682.png

.
Ndani ikiwa na space ya kutosha, hata mabonge wanakaa vizuri tu na seats ziko very comfortable kama sofa tu. Kwa seats mbele na nyuma hata mtu mrefu au mnene anakaa vizuri na hata kwa safari ndefu dereva hachoki sana.. . Ukija pale kwa dashboard jamaa waliipa upgrade ile Analog meter ikawa na mvuto zaidi unaovutia kumaliza kisahani. Interiors wakaipa beige color ikiwa na wooden panels, wakaweka na built in multimedia screen ikiwa na speaker 6. Speaker zinazotoa music safi kabisa na navigation system ikawekwa pale...
.
1657779875022.png
1657779915001.png

.
Mufindi pale ndani wakaboresha AC ikawa inapuliza vizuri na joto unaweza kuli control manual, Ubaridi ukawa wa kutosha na wakaweka single climate control. Boot space ipo ya kutosha tu kwa mzigo wa familia yani mzigo wa kisport unatosha ila sio ile mishangazi kaja Mzee..
.
Muonekano wa nje body yake ni ndefu kitu kinachoipa luxury look, Bonnet yake ni ndefu same to boot na shape ya milango inavutia wanasema, sleek and attractive ikiwa na door handle za chrome. Hizi gari wakati zinaingia wamiliki walikua wanahisia kama team Crown kwa sasa..
.
1657780010139.png
1657780036117.png

.
Tukija kwenye machine gari imekuja na engine option 4 za Petrol, Kuna 2.0 L 1G-FE [Hii wanaitaga 1G Kavu], 2.5L 1JZ-GE, 2.5L 1JZ-FSE direct injection na 2.5L 1JZ-GTE turbocharged. Engine zote ni six cylinder zikiwa na horsepower range ya 160 Hp to 280 Hp..
.
Hizi engine kwenye speed ukopaji wake uko hivi, 2.0L 1G maximum speed ni 190 km/h, 2.5L 1JZ-GE maximum speed 210 km/h, 2.5L 1JZ FSE maximum speed ni 220 km/h na 2.5L 1JZ-GTE maximum speed 230 ++ km/h Na zote kwa dashboard top speed ni 180Km/Hr so mshale huwa unapitiliza..
.
Kwa kifupi hizi machine kwenye speed ziko vizuri sana, Mafuta gari full tank ni Liter 70 na kwenye matumizi kama bado machine imesimama inatumia vizuri. Nikisema vizuri nalinganisha na nguvu inayokupa sio mfuko wako na hapa kwa wasitani inaenda 7.1Km/L-12.5Km/L..
.
Kama umezoea gari za cc chini ya 1500 mafuta unaweka 10,000 unaanza safari hii itakutoa jasho kwenye baridi, Ulaji wake ni wa kawaida kama ukiendesha vizuri/soft driving ila tofauti na hapo ni shida. Engine ya 1G-FE ukiendesha vizuri gari inaweza kukupa mpaka 13Km/L..
.
1657780213966.png
1657780228483.png

.
1G-FE huwa nai recommend hii engine sana kwa wadau wanaozipenda hizi gari halafu uchumi bado ni tenda miujiza usiache Mungu mwaka upite. Engine zake ni roho ya paka ukizitunza vizuri ukazipa vilainishi inavyositahili, service on time kusumbua ni mara chache sana..
.
Na hakikisha Taa ya check engine haiwaki, Kama ikiwaka angalia shida nini urekebishe hasa switch ya VVT-i ikifa inawasha taa. NIkukumbushe hizi engine zote zina mfumo wa vvt-i so ni muhimu kuhakikisha mfumo huu uko sawa ikiwa na shida utaichukia hio gari..
.
1G ndo zile engine oil ikiwa chini unaweza weka hata mafuta ya kula ikapiga mzigo fresh tu [jokes], Spare zipo kibao tena za kumwaga tu na bei ni kuteleza tu kama ganda la ndizi. Ukija kwa body parts zipo za kutosha , mafundi wa hizi gari nao wapo wengi tu wa kutosha..
.
Kwa kifupi tusema kwemye maintenance ya hii gari tukiweka mafuta pembeni ni kamseleleko tu. Na kama umenotice hizi gari kuna zenye number B na C nyingi tu zinadunda. Kwa mikoani hata number A unakuta zinakimbiza vizuri tu raia na bado wanakomaa nazo..
.
Hili tu linakuthibitishia kwamba hizi gari zinadumu na zinahimili mikikimikiki, Na kama wewe ni mtu wa masafa marefu kwa low budget na unapenda speed hii gari ni option nzuri sana Maana mwendo upo + comfortability kama dereva na abiria wako na mizigo yenu..
.
1657780570315.png
1657780588337.png

.
Gx110 kwenye barabara iko very stable, Yani inatulia na inashika barabara vizuri sana, Ground clearance sio kubwa gari iko chini na hii inaifanya kwenye sharp corner kukata vizuri hata ikiwa speed. Kwa rough roads hasa zenye mabonde sio nzuri sana body inachoka mapema..
.
Service gearbox inavyotakiwa [inashauriwa kila baada ya 40,000Km to 48,000Km] wengine wanashauri zaidi ya hapa na Kama unaweka D inakita kwa nguvu sana its time uservice hiyo gearbox, Hapa wengi huwa wanapazembea + ukiona inachelewa kubadilisha gear iangalie hio gear box mapema kabla tatizo halijawa kubwa..
.
Gx 110 nzuri ni za 2002-2004, 2004 ndo iko poa zaidi inaa taa ya wanja na curves nzuri + interior zimekaa poa sana. Kama mzigo upo ya 2004 ndo iko poa zaidi hata grill za mbele zimependezeshwa zaidi na kuna ambazo ziko na winkle mirrors, ukitia na tinted inakua tamu sana...
.
GX110 pia ana version kutokana features za gari mfano kuna sport version 2.5 Grande iR-S na 2.5 Grande iR-V, Kuna Grande Four hii inaendesha tyre zote [AWD], kuna 2.5 Grande G, 2.5 Grande G-tb. Tofauti zake ni features kikubwa angalia utachopenda then pambana..
.
1657780748375.png
1657780764844.png

.
Halafu na bei zake za mkononi kwa hizi gari ni mtelezo tu, Wengi wanaoziuza ni kama wanazitupa hii inafanya wadau wa Imani upendo na miujuza wazipende hizi gari. Ukikuta imenyooka sana itakua inauzwa 7M++ lakini nyingi sana zinauzwa chini ya hapo 3.5M-5M na unakuta ziko poa tu..
.
Hii gari kukutolea Japan mpaka inakufikia mkononi ni 12.5-15M, inaweza shuka/panda kutokana na mwaka + condition ya gari, showroom zipo ila ni chache sana. Kama unahitaji kuagiza gari Japan, UK Singapore, etc au kununua hapa nchini [showroom au mkononi] Karibu..
.
1657780866390.png
1657780881523.png

.
Tutafanya mchakato wako wa kupata gari kuwa salama unaokupa kitu bora na unaojali muda wako, Tunafanya kazi na dealers wa nje na hapa nchini wanaotupa gari nzuri. Gari zenye ubora, bei nzuri kwa ajili yako simply bofya link [Samatime Cardealers] njoo WhatsApp na hitaji lako tutakusort.
.
Pia unaweza kuja ofisini Posta mpya Phoenix House floor ya 4 opposite na mkapa tower ukapata ushauri zaidi, Hata kama uko mkoani unaweza wasiliana nasi ukaagiza gari yako then malipo ukafanyia huko huko [at cost].. . Yani unatumiwa invoice kama zilivyo mpaka gari itapofika..
.
Utakua updated on the progress na gari ikifika utaletewa au utakuja kuichukua, Hopefully umejifunza kitu kama jibu ni ndio basi unaweza share na wengine wapate haya madini, Pia unaweza kutupa ktk kurasa zetu za jamii Ig na twitter Kama @samatimecardealers ili next time usipitwe na madini kama haya..
.
Asante
Samatime Car Dealers Co Ltd
0714547598
 
View attachment 2289745
.
Hii ni moja ya sedan za Toyota nzuri kuwahi kutokea, huyu na Crown ni kama wanashare Baba sema Mama tofauti, Hii ndo zile gari unasikiaga zinakopa speed yani zinafika 180 hafu mshale unaenda mbele zaidi, kaa vizuri ule madini..
.
Mark II kama Mark II ina generation 9 ni gari flani old school iko kwenye game toka 1968-2007, G 1 imetoka 1968-1972 coded T60 na T70, G 2 1972-1980 coded X10 na X20, G 3 1976-1980 coded X30 na X40, G 4 1980-1984 coded X60, G 5 1984-1988 coded X70, G 6 1988-1995 coded X80..
.
G 7 1992-1996 coded X90, G 8 1996-2000 coded X100 na G 9 2000-2007 coded X110, Sasa hivi vizazi vyote ndo unakutana na gari kama chaser, cressida na qualis, kina baloon nk, Nafikiri wahenga haya majina sio mageni kwenu ni gari flani tumezitumia sana miaka ya nyuma..
.
View attachment 2289747View attachment 2289754View attachment 2289756View attachment 2289757
.
Kwa sasa nitaenda direct to GX110 iliyotuleta hapa ambayo ndo generation ya 9 [2000-2004 kwa sedan na 2002-2007 kwa wagon maarufu kama Mark II Blitz]. GX110 by the time inaingia sokoni 2000 ilikua moja ya mid sized sedan nzuri ikiwa kama luxurious car Kitoyota toyota...
.
View attachment 2289764View attachment 2289768
.
Ndani ikiwa na space ya kutosha, hata mabonge wanakaa vizuri tu na seats ziko very comfortable kama sofa tu. Kwa seats mbele na nyuma hata mtu mrefu au mnene anakaa vizuri na hata kwa safari ndefu dereva hachoki sana.. . Ukija pale kwa dashboard jamaa waliipa upgrade ile Analog meter ikawa na mvuto zaidi unaovutia kumaliza kisahani. Interiors wakaipa beige color ikiwa na wooden panels, wakaweka na built in multimedia screen ikiwa na speaker 6. Speaker zinazotoa music safi kabisa na navigation system ikawekwa pale...
.
View attachment 2289769View attachment 2289770
.
Mufindi pale ndani wakaboresha AC ikawa inapuliza vizuri na joto unaweza kuli control manual, Ubaridi ukawa wa kutosha na wakaweka single climate control. Boot space ipo ya kutosha tu kwa mzigo wa familia yani mzigo wa kisport unatosha ila sio ile mishangazi kaja Mzee..
.
Muonekano wa nje body yake ni ndefu kitu kinachoipa luxury look, Bonnet yake ni ndefu same to boot na shape ya milango inavutia wanasema, sleek and attractive ikiwa na door handle za chrome. Hizi gari wakati zinaingia wamiliki walikua wanahisia kama team Crown kwa sasa..
.
View attachment 2289771View attachment 2289772
.
Tukija kwenye machine gari imekuja na engine option 4 za Petrol, Kuna 2.0 L 1G-FE [Hii wanaitaga 1G Kavu], 2.5L 1JZ-GE, 2.5L 1JZ-FSE direct injection na 2.5L 1JZ-GTE turbocharged. Engine zote ni six cylinder zikiwa na horsepower range ya 160 Hp to 280 Hp..
.
Hizi engine kwenye speed ukopaji wake uko hivi, 2.0L 1G maximum speed ni 190 km/h, 2.5L 1JZ-GE maximum speed 210 km/h, 2.5L 1JZ FSE maximum speed ni 220 km/h na 2.5L 1JZ-GTE maximum speed 230 ++ km/h Na zote kwa dashboard top speed ni 180Km/Hr so mshale huwa unapitiliza..
.
Kwa kifupi hizi machine kwenye speed ziko vizuri sana, Mafuta gari full tank ni Liter 70 na kwenye matumizi kama bado machine imesimama inatumia vizuri. Nikisema vizuri nalinganisha na nguvu inayokupa sio mfuko wako na hapa kwa wasitani inaenda 7.1Km/L-12.5Km/L..
.
Kama umezoea gari za cc chini ya 1500 mafuta unaweka 10,000 unaanza safari hii itakutoa jasho kwenye baridi, Ulaji wake ni wa kawaida kama ukiendesha vizuri/soft driving ila tofauti na hapo ni shida. Engine ya 1G-FE ukiendesha vizuri gari inaweza kukupa mpaka 13Km/L..
.
View attachment 2289774View attachment 2289776
.
1G-FE huwa nai recommend hii engine sana kwa wadau wanaozipenda hizi gari halafu uchumi bado ni tenda miujiza usiache Mungu mwaka upite. Engine zake ni roho ya paka ukizitunza vizuri ukazipa vilainishi inavyositahili, service on time kusumbua ni mara chache sana..
.
Na hakikisha Taa ya check engine haiwaki, Kama ikiwaka angalia shida nini urekebishe hasa switch ya VVT-i ikifa inawasha taa. NIkukumbushe hizi engine zote zina mfumo wa vvt-i so ni muhimu kuhakikisha mfumo huu uko sawa ikiwa na shida utaichukia hio gari..
.
1G ndo zile engine oil ikiwa chini unaweza weka hata mafuta ya kula ikapiga mzigo fresh tu [jokes], Spare zipo kibao tena za kumwaga tu na bei ni kuteleza tu kama ganda la ndizi. Ukija kwa body parts zipo za kutosha , mafundi wa hizi gari nao wapo wengi tu wa kutosha..
.
Kwa kifupi tusema kwemye maintenance ya hii gari tukiweka mafuta pembeni ni kamseleleko tu. Na kama umenotice hizi gari kuna zenye number B na C nyingi tu zinadunda. Kwa mikoani hata number A unakuta zinakimbiza vizuri tu raia na bado wanakomaa nazo..
.
Hili tu linakuthibitishia kwamba hizi gari zinadumu na zinahimili mikikimikiki, Na kama wewe ni mtu wa masafa marefu kwa low budget na unapenda speed hii gari ni option nzuri sana Maana mwendo upo + comfortability kama dereva na abiria wako na mizigo yenu..
.
View attachment 2289781View attachment 2289782
.
Gx110 kwenye barabara iko very stable, Yani inatulia na inashika barabara vizuri sana, Ground clearance sio kubwa gari iko chini na hii inaifanya kwenye sharp corner kukata vizuri hata ikiwa speed. Kwa rough roads hasa zenye mabonde sio nzuri sana body inachoka mapema..
.
Service gearbox inavyotakiwa [inashauriwa kila baada ya 40,000Km to 48,000Km] wengine wanashauri zaidi ya hapa na Kama unaweka D inakita kwa nguvu sana its time uservice hiyo gearbox, Hapa wengi huwa wanapazembea + ukiona inachelewa kubadilisha gear iangalie hio gear box mapema kabla tatizo halijawa kubwa..
.
Gx 110 nzuri ni za 2002-2004, 2004 ndo iko poa zaidi inaa taa ya wanja na curves nzuri + interior zimekaa poa sana. Kama mzigo upo ya 2004 ndo iko poa zaidi hata grill za mbele zimependezeshwa zaidi na kuna ambazo ziko na winkle mirrors, ukitia na tinted inakua tamu sana...
.
GX110 pia ana version kutokana features za gari mfano kuna sport version 2.5 Grande iR-S na 2.5 Grande iR-V, Kuna Grande Four hii inaendesha tyre zote [AWD], kuna 2.5 Grande G, 2.5 Grande G-tb. Tofauti zake ni features kikubwa angalia utachopenda then pambana..
.
View attachment 2289786View attachment 2289787
.
Halafu na bei zake za mkononi kwa hizi gari ni mtelezo tu, Wengi wanaoziuza ni kama wanazitupa hii inafanya wadau wa Imani upendo na miujuza wazipende hizi gari. Ukikuta imenyooka sana itakua inauzwa 7M++ lakini nyingi sana zinauzwa chini ya hapo 3.5M-5M na unakuta ziko poa tu..
.
Hii gari kukutolea Japan mpaka inakufikia mkononi ni 12.5-15M, inaweza shuka/panda kutokana na mwaka + condition ya gari, showroom zipo ila ni chache sana. Kama unahitaji kuagiza gari Japan, UK Singapore, etc au kununua hapa nchini [showroom au mkononi] Karibu..
.
View attachment 2289790View attachment 2289791
.
Tutafanya mchakato wako wa kupata gari kuwa salama unaokupa kitu bora na unaojali muda wako, Tunafanya kazi na dealers wa nje na hapa nchini wanaotupa gari nzuri. Gari zenye ubora, bei nzuri kwa ajili yako simply bofya link [Samatime Cardealers] njoo WhatsApp na hitaji lako tutakusort.
.
Pia unaweza kuja ofisini Posta mpya Phoenix House floor ya 4 opposite na mkapa tower ukapata ushauri zaidi, Hata kama uko mkoani unaweza wasiliana nasi ukaagiza gari yako then malipo ukafanyia huko huko [at cost].. . Yani unatumiwa invoice kama zilivyo mpaka gari itapofika..
.
Utakua updated on the progress na gari ikifika utaletewa au utakuja kuichukua, Hopefully umejifunza kitu kama jibu ni ndio basi unaweza share na wengine wapate haya madini, Pia unaweza kutupa ktk kurasa zetu za jamii Ig na twitter Kama @samatimecardealers ili next time usipitwe na madini kama haya..
.
Asante
Samatime Car Dealers Co Ltd
0714547598
Nakubali yote uliyoyaandika kuhusu GX 110. Nimeitumia hii wakati fulani,Asee hiyo gari moto wake ni wa hatari. Speed,Torque,Stability,Comfortably....you say it...Basi tu fasheni yake imepita
 
Mi ninayo toka mwaka 2010 ina engine Beam2000 "35th anniversary" namba B.. very comfortable car, mafuta kwa safari ndefu ndio utaenjoi sana yaan full kipupwe inaenda 12-13 KM/ L.
Dom-Dar lita35 na nabaki na chenchi

Muungurumo wa gari ukiwa ndani ndio dah!! acha kabisa, kila nikifikiria kuiuza najikuta naahirisha
 
Attachments

  • 20221111_192037.jpg
    20221111_192037.jpg
    180.2 KB · Views: 152
Nakubali yote uliyoyaandika kuhusu GX 110. Nimeitumia hii wakati fulani,Asee hiyo gari moto wake ni wa hatari. Speed,Torque,Stability,Comfortably....you say it...Basi tu fasheni yake imepita
Fashion imepita? jaribu kuichek ya mwaka 2004
 
Gari nzuri..Zinapotezaga utamu wake tukishaanzaga kuzifunga suspension za elfu 60 na link na bush za kupima kwa macho….kama kuna mtu ananielewa
Mkuu ngoja nikupr akili kwenye suspension unatakiwa uwe unanunua unit mpya hicho ndo cha kubadili i.e bei zinaanzia 120,000 hadi 250,000 au zingine zaidi kulingana na aina ya gari
 
Back
Top Bottom