Kakumamoto
JF-Expert Member
- May 6, 2015
- 1,166
- 1,614
Habari Wanajamvi?
Huu uchaguzi wa nafasi za juu CHADEMA, unaibua mambo mbalimbali ya kushangaza na kufurahisha kutoka kwa MACHAWA wa ngome mbili tofauti zilizotangaza nia ya kugombea uongozi ndani ya CHADEMA.
Kuna Kamanda wa CHADEMA kule kwenye mtandao wa X anayefahamika kwa jina la Freddie, @frediejustine, anasema kuwa walikwenda Nairobi kwa ajili ya Mafunzo yalikuwa yanatolewa na Maria Sarungi (Mwanaharakati/Mwanasiasa?).
Hili limenishangaza kidogo, nikajiuliza maswali ambayo naamini humu jamvini kuna wajuvi wa mambo. Maswali yenyewe ni kama yafuatayo:
ARIGATO.

- Maria Sarungi ni mwanachama wa CHADEMA?
- Ana nafasi gani ndani ya CHADEMA? Anatoa mafunzo kwa Makamanda wa CHADEMA kama nani?
- Mafunzo yanahusu nini, Siasa, Uongozi au Uanaharakati?
- Nani anafadhili mafunzo na kulipia gharama hawa makamanda kwenda Nairobi?
- Au kina Freddie wanajilipia?
- Haya mafunzo yana Baraka za CDM kama Chama?
ARIGATO.