Mi siamini kama waliokuwa wanaweza kuwa 150.... Naona kama marekani imeongeza sana chumvi
Alshabab,, wamekanusha hayo mauaji sio kwel source BBC
ni kweli, lakin wasiwasi wako wauna msingi wowote, labda msingi wako ni upi? je labda idadi ya mabomu yaliyorushwa hayawezi kuua idadi ile ya watu?! ama uko eneo la tukio umeona idadi inayotangazwa sio sawa na unayoona hapo tukioni?!Si lazima mawazo yetu yafanane mkuu
yaonekana unaimani sana na magaidi ya alshababMkuu wa wapiganaji wa Al Shabaab amesema kwamba kwa usalama wao hawana kawaida ya kujikusanya sehemu mmoja wakiwa wengi, amekubali kwamba kuna wapiganaji wameuwawa kwa kombora lililorushwa na drone, lakini idadi ya wale waliokufa ni ndogo sana.
Uwezekano wa Marekani kuongeza chumvi ni mkubwa sana, Al Shabaab hawawezi kufanya ujinga wa kurundikana sehemu moja kwa wakati mmoja huku wakijua Drones zinarushwa kutokea airbase ya USA huko Djibuti which is very close to Somali border.
yaonekana unaimani sana na magaidi ya alshabab
inaonekana hupendiNimepitia mafunzo ya kijeshi, hivyo najua operation zinazo fanywa na Al Shabaab ni za kikomando zaidi, Wamerika wasidanganye Dunia kwamba Al Shabaab wanaweza kijikusanya kwenye kundi kubwa kama wapo kwenye sherehe ili hiwe rahisi wao kushambuliwa kutoka angani, hawawezi kufanya ujinga wa namna hiyo.
Kama ingekuwa kirahisi kihivyo basi jeshi la anga la Kenya lingekuwa limekwisha wamaliza Al Shabaab wote nchini Somalia.
Al Shabaad wanafanya mashambulizi wakiwa kwenye vikundi vidogo vidogo hata mafunzo hivyo hivyo, chukulia mfano wa mashambulizi ndani ya supermarket Nairobi Kenya, magaidi walikuwa hawazidi watatu, sina shaka mliona madhala/uharibifu ulio tokea.
Narudia kusema kwamba sio kwamba Al Shabaab wana makambi rasmi ya kijeshi kama a regular army - Marekani wasitufanye wajinga, ni kweli kuna wapiganaji wameuwawa lakini sio idadi wanayodai wao i.e wanaweka chumvi mno kama kawaida yao wakiwa na lengo la propaganda za kutaka kudhilishia Dunia kwamba wao zaidi, mpaka sasa Marekani ina track gani nzuri ya kuonyesha ushindi dhidi ya vikundi vya kislaam vyenye siasa kali (magaidi) - hawana kabisa if anything ugaidi ndio unashamiri zaidi under their watch.
inaonekana hupendi
magaidi wauwawe, ila ndo hivyo tena 150 tayari wako kuzimu
Nilisha kusoma baada ya majibu yako ya mwanzo - hivyo sishangazwi anacho kisema hapa, nilijua utakuja na majibu mepesi mepesi kama haya; hii inadhilisha kwamba kuna kila sababu ya kuamini kwamba uelewa wako katika masuala ya Geopolitics ni mdogo sana, naona hata ujui Drone moja inabeba makombora mangapi au unafikiri Drone ina uwezo wa kubeba mabom/makombora mengi kama a B- 52 Bomber - pole sana!!
Mkuu tatizo lako ukisha sikiliza taarifa ya habari kutoka CNN, FoxNews basi unazichukilia taarifa hizo kama ni a gospel truth, wakati BBC na eye witness wanakanusha idadi ya wapiganaji walio uwawa kwenye tukio wewe unagangania kwamba magaidi walio uwawa ni 150!!!- Au mwenzetu unataka kutuambia kwamba Drone ikisha dondosha bom na kuua watu basi inarudi kwa mara nyingine this time around ina hover around 4 body count? - come on!
Hapa naona vile vile unajaribu kulazimisha /kusukumiza maneno down my throat, maneno ambayo sijasema - ni wapi nimesema sipendi magaidi wauwawe - wapi? Wewe naona unielewi 4 some reasons best known 2 your goodself.
Mimi sina tatizo na raia wa Marekani, nisicho penda ni unafiki wa Serikali yao, wao ndio wamelea na kuchochea ugaidi hasa hasa Mashariki ya kati na Duniani kote, ndio wahusika wakuu walio mpa mafunzo kinara wa magaidi Duniani one "Osama Bin Laden" na wenzake au hilo mmesahau? - halafu leo hii tukae tukijidanganya hapa kwamba Taifa hilo lina nia thabiti ya kumaliza janga la Ugaidi Duniani?
Marekani inacho jali zaidi ni maslahi yake binafsi na kutaka kutawala Mataifa mengine via
remote control in terms of kusimika madarakani ma puppet wao kwa njia ya mapinduzi au vita, tumeshuhudi baadhi ya Viongozi Duniani ambao hawaungi mkono umangimeza wao wanaishia kuuwawa wengine kwa kunyongwa adhalani, mfano: Viongozi wa Iraq, Libya, Yugoslavia ya zamani, Afghanistan, Grenada just 2 mention a few, mfano mzuri ni vita inayo endelea nchini Syria kama si msaada wa jeshi la anga la Urusi saa hizi hata Asaad wa Syria nae angelikuwa amekwisha pinduliwa/uwawa - kisa Bashir Al Asaad alikatalia Marekani na Bahrain kupitisha bomba la gesi nchini Syria kwenda Ulaya, wakiwa na lengo la kuifanyia hujuma Urusi hisiuze gesi Ulaya, wangapi wanajua ukweli huo - suala dogo kama hilo la kimaslahi ndilo Marekani inazuga Dunia ingie vitani kwa kisingizio cha regime change, wanachochea uhasi ndani ya Syria kwa kumu demonise Al Bashir kwamba ni mbaya sana na muuaji wa raia wake - kumbe chuki zote za Marekani dhidi ya Rais wa Syria zina sababishwa kukatali Marekani na Bahrain kujenga bomba la gesi kupitia nchini mwake!!!!
Wakati mwingine kuna umuhimu wa kutafakari kwa undani kuhusu kinacho endelea Duniani linapokuja suala la ugaidi, tujihoji hivi ugaidi huu ulihibuka tu out of the blue au kulikuwepo kichocheo cha kuanzishwa kwake - je, matendo ya Merikani Duniani yamechangia kwa kiwango gani mpaka kufikia watu kuchukua hatua ya kujitoa muhanga, kulipua ndege na train, kulipua majengo ya Biashara nk.
Tuwe wakweli hapa Taifa la Merikani na dhuluma za Waisrael dhidi ya Wapalestina limechangia kwa kiwango kikubwa katika kuchochea kuanzishwa ugaidi Duniani, tusipo address kiini cha Ugaidi tutaendelea kuwalahumu/singizia Waislaam wenye siasa kali wakati wahusika wakuu wa majanga ya kigaidi wanajulikana.
Nimalizie kwa kurudi kusema tena kwamba tusiwe tunasukumwa na hisia za kishabeki tu, tuwe wakweli hapa - hakuna Taifa lolote Duniani linalo chochea Ugaidi kama Merikani ndio wahusika wakuu wa kuwapa mafunzo ya kivita magaidi baadae wanawadondoshea silaha kwa ndege/helicopters ili magaidi waendeleze killing spree za binadamu ambao hawana hatia, wanafikia hatua ya kuwapa mpaka silaha za kusambaza sumu waasi wa Syria na Iraq wakishirikiana na Serikali ya Saudi Arabia na Uturuki dhidi ya Serikali ya Syria, hawa ni binadamu wa aina gani? masaa yote kuzuga Dunia kwa kujitia wanatetea haki za Binadamu - ulaghai mtupu.
ukileta fujo utapigwa tu hamna namna, mnaleta fyokofyoko mkipigwa mnaanza kupiga yowe. ujuaji mwiiingi kumbe 0 povu tupu. yaani wewe wa kwenye mji wa kipindupindu kwenye karne hii unajua mambo kuliko pentagon?! yaani uaminike wewe ambaye haukuwepo kwenye shambulizi, hujui lilitekelezwaje, hujui lilipangwaje, yaani hujui lolote a-z ya shambulio husika afu unataka tukuamin! yaani tusiiamini pentagon ambayo ndo mpangaji, mtekerezaji na hayo maeneo anayafuatilia daily. inafurahisha kwa kweliNilisha kusoma baada ya majibu yako ya mwanzo - hivyo sishangazwi anacho kisema hapa, nilijua utakuja na majibu mepesi mepesi kama haya; hii inadhilisha kwamba kuna kila sababu ya kuamini kwamba uelewa wako katika masuala ya Geopolitics ni mdogo sana, naona hata ujui Drone moja inabeba makombora mangapi au unafikiri Drone ina uwezo wa kubeba mabom/makombora mengi kama a B- 52 Bomber - pole sana!!
Mkuu tatizo lako ukisha sikiliza taarifa ya habari kutoka CNN, FoxNews basi unazichukilia taarifa hizo kama ni a gospel truth, wakati BBC na eye witness wanakanusha idadi ya wapiganaji walio uwawa kwenye tukio wewe unagangania kwamba magaidi walio uwawa ni 150!!!- Au mwenzetu unataka kutuambia kwamba Drone ikisha dondosha bom na kuua watu basi inarudi kwa mara nyingine this time around ina hover around 4 body count? - come on!
Hapa naona vile vile unajaribu kulazimisha /kusukumiza maneno down my throat, maneno ambayo sijasema - ni wapi nimesema sipendi magaidi wauwawe - wapi? Wewe naona unielewi 4 some reasons best known 2 your goodself.
Mimi sina tatizo na raia wa Marekani, nisicho penda ni unafiki wa Serikali yao, wao ndio wamelea na kuchochea ugaidi hasa hasa Mashariki ya kati na Duniani kote, ndio wahusika wakuu walio mpa mafunzo kinara wa magaidi Duniani one "Osama Bin Laden" na wenzake au hilo mmesahau? - halafu leo hii tukae tukijidanganya hapa kwamba Taifa hilo lina nia thabiti ya kumaliza janga la Ugaidi Duniani?
Marekani inacho jali zaidi ni maslahi yake binafsi na kutaka kutawala Mataifa mengine via
remote control in terms of kusimika madarakani ma puppet wao kwa njia ya mapinduzi au vita, tumeshuhudi baadhi ya Viongozi Duniani ambao hawaungi mkono umangimeza wao wanaishia kuuwawa wengine kwa kunyongwa adhalani, mfano: Viongozi wa Iraq, Libya, Yugoslavia ya zamani, Afghanistan, Grenada just 2 mention a few, mfano mzuri ni vita inayo endelea nchini Syria kama si msaada wa jeshi la anga la Urusi saa hizi hata Asaad wa Syria nae angelikuwa amekwisha pinduliwa/uwawa - kisa Bashir Al Asaad alikatalia Marekani na Bahrain kupitisha bomba la gesi nchini Syria kwenda Ulaya, wakiwa na lengo la kuifanyia hujuma Urusi hisiuze gesi Ulaya, wangapi wanajua ukweli huo - suala dogo kama hilo la kimaslahi ndilo Marekani inazuga Dunia ingie vitani kwa kisingizio cha regime change, wanachochea uhasi ndani ya Syria kwa kumu demonise Al Bashir kwamba ni mbaya sana na muuaji wa raia wake - kumbe chuki zote za Marekani dhidi ya Rais wa Syria zina sababishwa kukatali Marekani na Bahrain kujenga bomba la gesi kupitia nchini mwake!!!!
Wakati mwingine kuna umuhimu wa kutafakari kwa undani kuhusu kinacho endelea Duniani linapokuja suala la ugaidi, tujihoji hivi ugaidi huu ulihibuka tu out of the blue au kulikuwepo kichocheo cha kuanzishwa kwake - je, matendo ya Merikani Duniani yamechangia kwa kiwango gani mpaka kufikia watu kuchukua hatua ya kujitoa muhanga, kulipua ndege na train, kulipua majengo ya Biashara nk.
Tuwe wakweli hapa Taifa la Merikani na dhuluma za Waisrael dhidi ya Wapalestina limechangia kwa kiwango kikubwa katika kuchochea kuanzishwa ugaidi Duniani, tusipo address kiini cha Ugaidi tutaendelea kuwalahumu/singizia Waislaam wenye siasa kali wakati wahusika wakuu wa majanga ya kigaidi wanajulikana.
Nimalizie kwa kurudi kusema tena kwamba tusiwe tunasukumwa na hisia za kishabeki tu, tuwe wakweli hapa - hakuna Taifa lolote Duniani linalo chochea Ugaidi kama Merikani ndio wahusika wakuu wa kuwapa mafunzo ya kivita magaidi baadae wanawadondoshea silaha kwa ndege/helicopters ili magaidi waendeleze killing spree za binadamu ambao hawana hatia, wanafikia hatua ya kuwapa mpaka silaha za kusambaza sumu waasi wa Syria na Iraq wakishirikiana na Serikali ya Saudi Arabia na Uturuki dhidi ya Serikali ya Syria, hawa ni binadamu wa aina gani? masaa yote kuzuga Dunia kwa kujitia wanatetea haki za Binadamu - ulaghai mtupu.
Mi siamini kama waliokuwa wanaweza kuwa 150.... Naona kama marekani imeongeza sana chumvi
Sasa kuna watu povu limewatoka kwasababu nimesema siiamini hiyo ripotiTangu lini marekani akaongea ukweli...hizo zote ni propaganda, na sisi waafrika tumekutwa hatuna akili na mambumbumbu tunaamini tunachoambiwa na wazungu
Zaidi ya wapiganaji 150 wa Al-Shabab wameuawa kufuatia shambulizi la ndege isiyokuwa na rubani ya Marekani katika maficho yao nchini Somalia.
Taarifa kutoka makao makuu ya usalama ya Pentagon inasema.
Taarifa hiyo inasema kuwa shambulizi hilo lilitekelezwa dhidi ya kambi moja ya Al Shabab takriban kilomita 195 Kaskazini mwa Mogadishu.
"Tulitekeleza shambulizi lililofaulu dhidi ya wanamgambo hao wa kiislamu wa Al Shaabab.'' alisema kapteni Jeff Davis.
Kundi hilo lilikuwa linajiandaa, kutekeleza mashambulizi ambayo yangetishia usalama wa majeshi ya Marekani na yale ya umoja wa Afrika.
Majeshi ya Afrika yaliwaondoa wapiganaji hao kutoka mijini mwaka wa 2011 hata hivyo kundi hilo limeendelea kuyashambulia kila kukicha kwa nia ya kuchukua madaraka.
Alshabab,, wamekanusha hayo mauaji sio kwel source BBC
Serikali ya somalia yenyewe inasema wanaweza fika hata 200+; weee mjuaji kuliko wasomali wenyewe
Kwa hiyo kwa kua umepitia mafunzo ya kijeshi tukuamini wewe na huyo msemaji wa Al Shabaab ila tusiiamini PentagonNimepitia mafunzo ya kijeshi, hivyo najua operation zinazo fanywa na Al Shabaab ni za kikomando zaidi, Wamerika wasidanganye Dunia kwamba Al Shabaab wanaweza kijikusanya kwenye kundi kubwa kama wapo kwenye sherehe ili hiwe rahisi wao kushambuliwa kutoka angani, hawawezi kufanya ujinga wa namna hiyo.
Kama ingekuwa kirahisi kihivyo basi jeshi la anga la Kenya lingekuwa limekwisha wamaliza Al Shabaab wote nchini Somalia.
Al Shabaad wanafanya mashambulizi wakiwa kwenye vikundi vidogo vidogo hata mafunzo hivyo hivyo, chukulia mfano wa mashambulizi ndani ya supermarket Nairobi Kenya, magaidi walikuwa hawazidi watatu, sina shaka mliona madhala/uharibifu ulio tokea.
Narudia kusema kwamba sio kwamba Al Shabaab wana makambi rasmi ya kijeshi kama a regular army - Marekani wasitufanye wajinga, ni kweli kuna wapiganaji wameuwawa lakini sio idadi wanayodai wao i.e wanaweka chumvi mno kama kawaida yao wakiwa na lengo la propaganda za kutaka kudhilishia Dunia kwamba wao zaidi, mpaka sasa Marekani ina track gani nzuri ya kuonyesha ushindi dhidi ya vikundi vya kislaam vyenye siasa kali (magaidi) - hawana kabisa if anything ugaidi ndio unashamiri zaidi under their watch.
kapita jeshi la sungusungu ndo anataka ajifananishe US armyKwa hiyo kwa kua umepitia mafunzo ya kijeshi tukuamini wewe na huyo msemaji wa Al Shabaab ila tusiiamini Pentagon?
Na Osama mlisema hajafa ni uongo tu wa US ila mpaka leo simsikii tena!
Alaf umepitia jeshi au mgambo?
Ulitaka wataje wangapi ndio uamini, gaidi hata akifa mmoja poa tu.