Marekani yaahidi Dola Milioni 10 kwa atakayewezesha kukamatwa kwa Viongozi wa Al-Shabaab

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,136
1,956
Marekani inatoa zawadi ya Dola Milioni 10, sawa na Tsh. 23,300,000,000 kwa watu ambao watatoa taarifa zitakazowezesha kukamatwa kwa Mahad Karate, Jehad Mostafa na Ahmed Diriye ambao ni viongozi wa kundi la kigaidi la Al Shabaab

Katika taarifa yake kupitia Ubalozi wake Jijini #Nairobi, Marekani ilisema viongozi hao wanahusika na mashambulizi mengi ya kigaidi nchini Somalia, Kenya na nchi jirani ambayo yameua mamia ya watu

Watoa taarifa wameombwa kuwasilisha taarifa hizo kupitia Mitandao ya Signal, Telegram au WhatsApp na baada ya hapo watatunukiwa tuzo na hata kuhamishwa Makazi

....................

The United States is offering a $10 million (Ksh.1.2 billion) reward to persons who will provide information leading to the arrest of three Al-Shabaab terrorist group leaders.

In a statement at its embassy in Nairobi on Monday, the US said the leaders are responsible for numerous terrorist attacks in Somalia, Kenya and neighbouring countries that have killed hundreds of people.

The three terror group leaders are Mahad Karate, Jehad Mostafa, and Ahmed Diriye.

“To our Kenyan and regional partners, United States is offering reward money for information that will lead to the identification and disruption of Al-Shabaab’s revenue sources and funding. This is huge information on Al-Shabaab’s exploitation of local natural resources and financial donors and facilitators,” a senior US official said.

“We know that Al-Shabaab receives money through a plethora of illegal activities that go on around the world to fund their operations and to fund the killing of hundreds of civilians every year,” he added.

The informants are urged to submit the information through Signal, Telegram or WhatsApp to +254-71-87-12-366 (Kenya) or +252-68-43-43-308 (Somalia).

The informants will not only be eligible for the reward but also relocation.

Source: Citizen Digital
 
imani itashindwa kutoa taarifa kwa watu wake.maana mafundisho wanayotoa kupitia imani hiyo ndio utata.
 
Na wao Alshabaab watoe ofa ya atayeleta kichwa cha balozi wa US Kenya.

Tatizo ugaidi ni issue complex sana.

Unaweza kuta anayefadhili silaha kwa hilo kundi anatoka US au Europe au nchi za kiarabu mshirika wa US.

Unafiki wa kiwango cha SGR
 
Wafadhili ni wao wenyewe! Waanze kumkamata wanae mpaka pesa na silaha kwanza
 
Kuna huyu anae mfadhili kagame na M2 wake ndio huyo huyo anaitesa msumbiji na kongo na vitu vipo wazi ila watu wanavunga kama hawajui vile
 
Hivi huwezi ukaongea na mshikaji msomali, halafu ukamleta ubalozi wa marekani na kumtambulisha kuwa huyu ndiyo kubwa la maadui. Si mnaweza mpate mpunga.

😂 🤣 😂
 
Marekani inatoa zawadi ya Dola Milioni 10, sawa na Tsh. 23,300,000,000 kwa watu ambao watatoa taarifa zitakazowezesha kukamatwa kwa Mahad Karate, Jehad Mostafa na Ahmed Diriye ambao ni viongozi wa kundi la kigaidi la Al Shabaab

Katika taarifa yake kupitia Ubalozi wake Jijini #Nairobi, Marekani ilisema viongozi hao wanahusika na mashambulizi mengi ya kigaidi nchini Somalia, Kenya na nchi jirani ambayo yameua mamia ya watu

Watoa taarifa wameombwa kuwasilisha taarifa hizo kupitia Mitandao ya Signal, Telegram au WhatsApp na baada ya hapo watatunukiwa tuzo na hata kuhamishwa Makazi

....................

The United States is offering a $10 million (Ksh.1.2 billion) reward to persons who will provide information leading to the arrest of three Al-Shabaab terrorist group leaders.

In a statement at its embassy in Nairobi on Monday, the US said the leaders are responsible for numerous terrorist attacks in Somalia, Kenya and neighbouring countries that have killed hundreds of people.

The three terror group leaders are Mahad Karate, Jehad Mostafa, and Ahmed Diriye.

“To our Kenyan and regional partners, United States is offering reward money for information that will lead to the identification and disruption of Al-Shabaab’s revenue sources and funding. This is huge information on Al-Shabaab’s exploitation of local natural resources and financial donors and facilitators,” a senior US official said.

“We know that Al-Shabaab receives money through a plethora of illegal activities that go on around the world to fund their operations and to fund the killing of hundreds of civilians every year,” he added.

The informants are urged to submit the information through Signal, Telegram or WhatsApp to +254-71-87-12-366 (Kenya) or +252-68-43-43-308 (Somalia).

The informants will not only be eligible for the reward but also relocation.

Source: Citizen Digital
Waweke picha zao waone kama sijaenda kuwakamata kwa mikono yangu mwenyewe (my bare hands)
 
Back
Top Bottom