The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,424
- 10,913
Kama Taifa kubwa linatunga sheria Kali kiasi hiki ,inakuaje hapa Tanzania ambapo Watoto wanafanyiwa vitendo vya ajabu na hakuna adhabu yeyote ya maana?
Kuna Mbunge alipendekeza adhabu ya kunyongwa lakini Kwa uzoefu wa Tanzania Wakuu huwa hawatekelezi hizo adhabu,kumbe badala yake tuanze kuwahasi na kifungo Juu.
Hongera sana Beberu.👇👇
=======
Taarifa kutokea nchini Marekani zinaeleza kuwa kuanzia mwezi Agosti mwaka huu watu watakaokutwa na hatia ya kuwalawiti Watoto wanaweza wakaamriwa kuhasiwa kwa njia ya upasuaji pamoja na kifungo cha jela.
Wanasiasa katika Jimbo hilo wamepitisha Muswada huo Jumatatu wiki hii ambao utawaruhusu Majaji kuamuru watu waliolawiti watoto chini ya miaka 13 wahasiwe kwa njia hiyo mpya.
Ikiwa Muswada huo utakuwa sheria basi wale wote watakaokutwa na hatia kuanzia Agosti Mosi watahukumiwa chini ya sheria hiyo.
Majaji katika Jimbo la Louisiana wamekuwa na uwezo wa kuamuru mtu yoyote aliyekutwa na hatia ya uhalifu wa kulawiti watoto kuhasiwa kwa kutumia kemikali. Hata hivyo sasa adhabu hiyo itakuwa kali zaidi.
Kitenge