MAREKANI tajiri hupimwa kwa kodi analipa TRA sio kama Arusha mtu anapimwa kwa pombe anakunywa grocery kwa mromboo hongera Bakheresa

Shotocan

JF-Expert Member
Nov 21, 2023
6,512
12,547
Arusha mtu akiwa anakunywa pombe grocery tofauti tofauti utasikia ohh yule bilionea grocery au baa gani wasiomjua kumbe anakunywa hapa bia mbili kule mbili

MAREKANI na Ulaya tajiri hupimwa kwa kodi analipa TRA sio kama Arusha mtu anapimwa kwa pombe anakunywa grocery kwa mromboo hongera Bakheresa kupewa tuzo la mlipa kodi mkubwa kwa ushahidi wa TRA

Kodi TRA mtu hulipa kwa asilimia na mauzo kama VAT nk hivyo ni rahisi kujua utajiri wa mtu anayelipa TRA kodi kuliko huyo mzunguka kwa mrombo vi grocery wanayemwita bilionea wa Arusha

Ukitaka kujua Bilionea muulize TRA wewe unalipa shilingi ngapi kwa Mwaka? Na lete ushahidi sio vizibo vya bia vya kwa mromboo Arusha

Mzee Bakheresa hongera sana kupewa tuzo
 
Atusha mtu akiwa anakunywa pombe grocery tofauti tofauti utasikia ohh yule bilionea grocery au baa gani wasiomjua kumbe anakunywa hapa bia mbili kule mbili

Mzee Bakheresa hongera sana kupewa tuzma
Marekani kuna kitu kinaitwa TRA? Wewe ni pumba.vu kabisa
 
Braza nina ndugu yangu mwaka jana kalipa kodi 900k kwa staili ya 150k kila robo ila mauzo yake tu ya LIPA NAMBA YA VODACOM tu ni mil 78, bado lipa ya Tigo na cash.

Braza walipa kodi waaminifu bongo HAKUNA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Robo ya nini? Ya mwezi, mwaka au mwongo (decade)?
 
Braza nina ndugu yangu mwaka jana kalipa kodi 900k kwa staili ya 150k kila robo ila mauzo yake tu ya LIPA NAMBA YA VODACOM tu ni mil 78, bado lipa ya Tigo na cash.

Braza walipa kodi waaminifu bongo HAKUNA.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ila analipa, tunaolipa kodi direct tulikua milioni 2 tu kama tumezidi sasa hivi ni milioni 3, kwenye nchi ya watu milioni 60.

Pata picha kila mtu angelipa hata hivyo kidogo kidogo tukawa walipa kodi hata milioni 10 huoni Tusingetemea nchi yoyote wafadhili?

Pia milioni 78 kulipa kodi laki 9 sio makadirio mabaya, inategemea na margin na cost nyengine kama rent.
 
Pata picha kila mtu angelipa hata hivyo kidogo kidogo tukawa walipa kodi hata milioni 10 huoni Tusingetemea nchi yoyote wafadhili?
Kina Abdul na mama yake wangekuwa na mahekalu juu ya anga.

Ujinga wa Afrika kadri wananchi wanavyolipa kodi ndivyo watawala wanavyojinufaisha.
 
Si kweli, tunachokusanya hata matumizi yetu hayatoshi, watu wanaiba kweli ila kwenye matumizi. Tuna neccesities nyingi zinazohitaji hela ambazo tunategemea wafadhili.
 
Soma tena HUJAELEWA
hiyo ni Lipa ya Voda
Bado lipa ya Tigo na Cash.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hata ikiwa hivyo mkuu, bila kujua context huwezi kum judge mtu.

Personally nafika hio hela kwenye lipa zangu ila asilimia kubwa ya hela nafungashia watu mizigo yako. Inawezekana wewe una duka la jeans, mteja anataka Jeans, Raba, mabegi, sandals etc hela yote anakutumia, we unatoa unamnunulia mzigo wake unakata na Chako unamtumia mzigo, kwenye lipa ita inflate mauzo yako lakini ki kodi si kila hela imepita kwenye bidhaa zako.
 
Atusha mtu akiwa anakunywa pombe grocery tofauti tofauti utasikia ohh yule bilionea grocery au baa gani wasiomjua kumbe anakunywa hapa bia mbili kule mbili

MAREKANI na Ulaya tajiri hupimwa kwa kodi analipa TRA sio kama Arusha mtu anapimwa kwa pombe anakunywa grocery kwa mromboo hongera Bakheresa kupewa tuzo la mlipa kodi mkubwa kwa ushahidi wa TRA

Kodi TRA mtu hulipa kwa asilimia na mauzo kama VAT nk hivyo ni rahisi kujua utajiri wa mtu anayelipa TRA kodi kuliko huyo mzunguka kwa mrombo vi grocery wanayemwita bilionea wa Arusha

Ukitaka kujua Bilionea muulize TRA wewe unalipa shilingi ngapi kwa Mwaka? Na lete ushahidi sio vizibo vya bia vya kwa mromboo Arusha

Mzee Bakheresa hongera sana kupewa tuzo
Arusha ni nchi iko bara lipi.
 
Sisi matajiri tunapenda kulipa kodi, tatizo ni namna viongozi wanasiasa wanavyozitafuna hizo kodi bila huruma
 
Back
Top Bottom