Marekani: Mbunge apeleka muswada bungeni utakaomruhusu Donald Trump kugombania Urais kwa muhula wa 3

Mindyou

JF-Expert Member
Sep 2, 2024
1,410
3,646
Wakuu,

Inaonekana huko nchi Marekani wameanza kufuata mienendo ya wanasiasa wa CCM.

Mbunge mmoja huko nchini Marekani amepeleka muswada bungeni ambao una lengo wa kumuongezea muhula wa 3 Donald Trump.

Muswada huo una lengo la kumpa Donald Trump miaka mingine 4 akishamaliza muda wake wa Urais 2028.

Ndio kusema Marekani nako kuna wabunge machawa kama kina Ally Kessy, Deo Sanga na Juma Nkamia?

third term.png

randy.png

========================================================

Rep. Andy Ogles (R-Tenn.) proposed an amendment to the U.S. Constitution that would allow President Trump to serve a third term in the White House so that the country “can sustain the bold leadership our nation so desperately needs.”

Like other U.S. presidents, Trump is barred from running for a third White House term by the 22nd Amendment to the Constitution.

“President Trump’s decisive leadership stands in stark contrast to the chaos, suffering, and economic decline Americans have endured over the past four years,” Ogles said in a Thursday statement. “He has proven himself to be the only figure in modern history capable of reversing our nation’s decay and restoring America to greatness, and he must be given the time necessary to accomplish that goal.”

Trump floated the prospect of running for a third term in a joke to House GOP lawmakers during a meeting in Washington before the conference had internal leadership elections.

Source: The Hill
 
Kwa hapa bongo, hii ishu ilianzia kwa Kikwete ila huwezi kusikia kelele mana Kikwete aliwaachia watu wafanye mambo yao, ila kelele zilikuwa kwa JPM baada ya kuwapelekea watu moto
 
Usilinganishe mavi(ccm) na keki(USA), hapa kwetu ccm wanaiba uchaguzi wote! Sio kura, kwa ufupi ccm wanajichsgua wenyewe,"utapiga kura kwingine,lakini ccm ndio itaunda serikali"maneno ya samia hayo! Ni majambazi kama drug cartel wa Mexico, usa, vitu vinaamuliwa kwa kura za wananchi wenyewe! Wakitaka aendelee milele ni sawa, wengi wape
 
Kule watu wana uhuru wa kutoa maoni lakini sio machawa kama ilivyo kwa Afrika japo kimsingi pendekezo hilo ni kitu ambacho kwa Marekani hakiwezekani kabisa.

Marekani hawafanyi kitu kwa kuangalia mtu fulani kama tufanyavyo Afrika wao wanaangalia maslahi mapana ya nchi.

Tofauti ya wazungu na waswahili ni kama usiku na mchana.
 
Wakuu,

Inaonekana huko nchi Marekani wameanza kufuata mienendo ya wanasiasa wa CCM.

Mbunge mmoja huko nchini Marekani amepeleka muswada bungeni ambao una lengo wa kumuongezea muhula wa 3 Donald Trump.

Muswada huo una lengo la kumpa Donald Trump miaka mingine 4 akishamaliza muda wake wa Urais 2028.

Ndio kusema Marekani nako kuna wabunge machawa kama kina Ally Kessy, Deo Sanga na Juma Nkamia?

========================================================

Rep. Andy Ogles (R-Tenn.) proposed an amendment to the U.S. Constitution that would allow President Trump to serve a third term in the White House so that the country “can sustain the bold leadership our nation so desperately needs.”

Like other U.S. presidents, Trump is barred from running for a third White House term by the 22nd Amendment to the Constitution.

“President Trump’s decisive leadership stands in stark contrast to the chaos, suffering, and economic decline Americans have endured over the past four years,” Ogles said in a Thursday statement. “He has proven himself to be the only figure in modern history capable of reversing our nation’s decay and restoring America to greatness, and he must be given the time necessary to accomplish that goal.”

Trump floated the prospect of running for a third term in a joke to House GOP lawmakers during a meeting in Washington before the conference had internal leadership elections.

Source: The Hill
Itabidi wapate theluthi mbili ndani ya House na Senate (ma bunge mawili ya Marekani) halafu hilo jambo likubalike majimbo yote 50 ili kufanya mabadiliko ya kikatiba.

Naweza kukuambia kuwa jambo hilo haliwezekani na huyo jamaa aliyependekeza pia anajua haliwezekani ila anatafuta kiki tu.
 
Qmamae hatukubali tutaanza kum clone mwenyekiti mh. Tundu Lissu then we send him to US for our conspiracy
 
Kwa hapa bongo, hii ishu ilianzia kwa Kikwete ila huwezi kusikia kelele mana Kikwete aliwaachia watu wafanye mambo yao, ila kelele zilikuwa kwa JPM baada ya kuwapelekea watu moto

Naomba kuelimishwa, mbunge gani kipindi cha Kikwete alisimama bungeni kutaka kuongezewa muda?
 
Usilinganishe mavi(ccm) na keki(USA), hapa kwetu ccm wanaiba uchaguzi wote! Sio kura, kwa ufupi ccm wanajichsgua wenyewe,"utapiga kura kwingine,lakini ccm ndio itaunda serikali"maneno ya samia hayo! Ni majambazi kama drug cartel wa Mexico, usa, vitu vinaamuliwa kwa kura za wananchi wenyewe! Wakitaka aendelee milele ni sawa, wengi wape

Yaani umeenda nje ya mada kabisa mkuu.

Sasa mambo ya CCM kuiba kura yanaingilianaje na mada hii

Na nani amekwambia Marekani hakuna wizi wa kura?
 
Naomba kuelimishwa, mbunge gani kipindi cha Kikwete alisimama bungeni kutaka kuongezewa muda?
Kuna mada humu JF ilipostiwa video, Sikumbuki jina la mada.

Na upo sahihi kutokujua hilo mana ht mm sikujua mpaka nilipokuja kuona hy video humu mana kipindi kilele hapakuwa na kelele kama enzi za JPM ndo mana haikupewa airtime.
 
Itabidi wapate theluthi mbili ndani ya House na Senate (ma bunge mawili ya Marekani) halafu hilo jambo likubalike majimbo yote 50 ili kufanya mabadiliko ya kikatiba.

Naweza kukuambia kuwa jambo hilo haliwezekani na huyo jamaa aliyependekeza pia anajua haliwezekani ila anatafuta kiki tu.

Jina lake kuwepo kwenye ballot kwenye uchaguzi ujao of course haiwezekani

Lakini kuna mlango wa nyuma anaweza kuutumia (akishirikiana na Republicans) akawa Rais mwaka 2028.

Katiba ya Marekani ina udhaifu mkubwa sana, kwenye eneo la mtu kutaka kuwa Rais
 
Kuna mada humu JF ilipostiwa video, Sikumbuki jina la mada.

Na upo sahihi kutokujua hilo mana ht mm sikujua mpaka nilipokuja kuona hy video humu mana kipindi kilele hapakuwa na kelele kama enzi za JPM ndo mana haikupewa airtime.

Ngoja niitafute mkuu.

Nitakutag.
 
Jina lake kuwepo kwenye ballot kwenye uchaguzi ujao of course haiwezekani

Lakini kuna mlango wa nyuma anaweza kuutumia (akishirikiana na Republicans) akawa Rais mwaka 2028.

Katiba ya Marekani ina udhaifu mkubwa sana, kwenye eneo la mtu kutaka kuwa Rais
Mlango wa nyuma gani?

Hizi habari zinazidisha nafasi ya Trump kuuawa tu.
 
Mlango wa nyuma gani?

Kuelekea mwaka 2028 anaweza kutumia influence yake kuchagua nani atakuwa nominee wa Republican kwenye Uchaguzi.

Huyo nominee anaweza akamchagua Trump kuwa running mate (vice president) maana inaruhusiwa kikatiba.

Then huyo nominee akishinda uchaguzi, anaweza kujiuzulu meaning automatically Trump anakuwa Rais.
 
Back
Top Bottom