MWITONGO MAARIFA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 276
- 1,428
Mhe. Mwenyekiti, Kwanza kabisa nidclee interest kwamba Mimi ni mjumbe wa kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, kwa hiyo nimeusoma mswada huu Sana.
Mhe. Mwenyekiti, Yote katika yote ili tuutendee haki mswada huu ni lazima KIKOKOTOO kiingizwe kwenye mswada huu.Kama kikokotoo hakitaingia katika mswada huu kikaenda kwenye kanuni Waziri anaweza kuja na ya kwake ambayo hayatakuwa na maslahi kwa wafanyakazi waliyokuwa wakipata kwenye mifuko iliyopita.
Mhe.Mwenyekiti, sababu ya kufutwa full pension "ile tafsiri ya full pension" ni baada ya kuona KIKOKOTOO cha 101/580 kinapigiwa kelele hakikubalikikubaliki. Kwa hiyo kikaonekana kiondolewe alafu mtu akafanya actual valuation ndiyo aweze kudetermine kikokotoo, ni hatari sana.
Na Mhe. Mwenyekiti, Mfanyakazi hawezi kuingia kwenye skimu unamwingiza kwenye skimu ajui mwisho wa siku atanufaikaje na skimu hiyo.Hiki kitu kiwe ni Black and White kwenye sheria.Hizi sheria tunazomerge zote zilikuwa zina formula.
Kabla ujajiunga unaangalia formula ya PSPF inanifaa kwa kiasi gani, formula ya NSSF inanifaa kwa kiasi gani, formula ya PPF, kwa hiyo mfanyakazi anasema should I go for PSPF, NSSF or PPF baada ya kuona Kuna maslahi yanayomuhusu.
Sasa tukienda kuficha formula kwenye kanuni halafu sheria iwe kimya kabisa, haina mafao yoyote, mwisho wa siku inatusaidia Nini?
Kwa hiyo Mhe.Mwenyekiti hili halileti afya na kama Waziri anaona ili kikokotoo kifahamike ni baada ya actual valuation alitakiwa afanye actual valuation ndio alete hoja ya kuunganisha. Kwamba hawa nimeona wakiungana nimejiridhisha watakuwa na afya ya kutosha kuwanufaisha wafanyakazi.
Hasa unakuja unaunganisha ambao hujui baada ya actual valuation watakuwa na afya gani, Je ukikuta baada ya kuunganisha Hali Yao Ni mbovu, ni mbaya kabisa tutarudi humu tena kuja kushughulikia hii kitu?
Kwa hiyo ilo mimi naliomba kabisa Wabunge tukubaliane tusipigishe sheria ambayo ni KIMYA. Hata leo tukitoka hapa unakwenda kuulizwa na mwenzako ambaye ni mfanyakazi aliyeko nyumbani nikistaafu nitalipwa bei gani , huwezi kumwambia bei atakayolipwa.
Lakini sambamba na hilo, Mhe. Mwenyekiti , kuna hii cutoff point ambayo inataka wafanyakazi waliokuwa kwenye sekta flani wabaki huko tuboard na hawa wapya kwenye mfuko mpya. Basi ikiwezekana vikokotoo vyao vibaki walivyokuwa navyo na kila wat waboard in kwenye mfuko huu mpya na vikokotoo vyao. Kwa hiyo waliokuwa na 540 waendelee na 540 mpaka watakapoface out na 580 waboard in na 580 mpaka watakapomaliza.Kikokotoo kipya kitakachokuja kianze na wafanyakazi wapya.
Mhe. Mwenyekiti, pamoja na nia njema kabisa yakuunganisha mifuko hii tusisahau baadhi ya benefits ambazo zilikuwa kwenye mifuko za zamani. Mfanyakazi aliyekuwa ananufaika kwenye mfuko aliokuwa nao tusipoteza hiyo benefit kwa sababu tu tunaanzisha mfuko mpya. Mfuko mpya kama tunaanzisha na kupoteza baadhi ya benefits haina sababu ya kuunganisha kwani lengo linapaswa kuwa tunaunganisha kuboresha kutoka pale tulipokuwa kwenda sehemu nyingine Bora zaidi.
Sasa fao la elimu limeondolewa wakati mifuko mingine ilikuwa inatoa ilo fao.Fao la afya " health insurance" nalo linaondolewa wakati lilikuwepo. Hasa mtu anajiuliza huu mfuko mpya unafaa au haufai? Na kwa sababu hatakuwa na option ,Ni Kama tunatengeneza kitu ambacho taka usitake utaingia tu.Kwa hiyo hiki ni kitu Cha hatari Sana Mhe.Chenge.
Namuuliza Mhe. Ndugai na wabunge wote huyu bwana hamkumsikia? Mawaziri mlidhamiiria kwa lengo gani hasa hadi mkashindwa kuuchukua huu ushauri?
SEMENI TU KWA UMOJA NA WINGI WENU MLIPANGA MPANGO HUU NA LENGO LIMETIMIA NA KWAMBA HATA MNGEAMBIWA NINI BASI BUNGENI MLIPELEKA HUO MSWADA KWA AJILI YA KUPITISHWA ILA SI KUJADILIWA.