witness kagirigiri
Member
- Mar 23, 2017
- 64
- 89
Kitendo cha Rais kumtumbua Nape Nnauye KIMEONYESHA Rais ni mtu SHUPAVU asiye tanguliza uswahiba KAZINI. Unajua ilifikia wakati Nape alianza kumpanda Rais kichwani eti kisa alimsaidia kwenye kampeni hivyo kujiamini kupindukia. Alianza kukejeli kwa kutuma kwenye Instagram maneno ya kubeza kisa uswahiba. KADI YA NYEKUNDU ALIYOPEWA NA REFA ALIKUWA ANASITAHILI KUPEWA. KWANI KAJITAKIA MWENYEWE HIVYO SIONI SABABU YA MTU KUMPA POLE WAKATI Kaamua kunywa SUMU mwenyewe.
Mkuu nabii hakubaliki kwao,,,ila hili la,bashite Mhhh!!!!Kitendo cha Rais kumtumbua Nape Nnauye KIMEONYESHA Rais ni mtu SHUPAVU asiye tanguliza uswahiba KAZINI. Unajua ilifikia wakati Nape alianza kumpanda Rais kichwani eti kisa alimsaidia kwenye kampeni hivyo kujiamini kupindukia. Alianza kukejeli kwa kutuma kwenye Instagram maneno ya kubeza kisa uswahiba. KADI YA NYEKUNDU ALIYOPEWA NA REFA ALIKUWA ANASITAHILI KUPEWA. KWANI KAJITAKIA MWENYEWE HIVYO SIONI SABABU YA MTU KUMPA POLE WAKATI Kaamua kunywa SUMU mwenyewe.