Marafiki waliopotezana siku nyingi wanapokutana

Aisee mkuu pastor,hao jamaa huko mjini wametokea wapi tena?Si wanasemaga ni viumbe hatari hao,hasa kwa jinsia ya 'me',eti akikuchapa na mkia wake unakua khanithi.Ni ya kweli haya mkuu?
 
Aisee mkuu pastor,hao jamaa huko mjini wametokea wapi tena?Si wanasemaga ni viumbe hatari hao,hasa kwa jinsia ya 'me',eti akikuchapa na mkia wake unakua khanithi.Ni ya kweli haya mkuu?
Ule mkia wake una aleji na shahawa za mwanaume ambazo anaihisi kwa njia ya upepo ambapo huwa anahisi kama sumu inamtembea sasa namna ya kuitoa ndio anajaribu kumpiga kwa mkia na hapo ikikutana na mishipa ya damu ya kwenda huku basi inaidhoofisha na fimbo ya Musa haisimami.
Huwa wanakuja mjini kusalimia na kushangaa mazingira
 
mkuu majibu mujarabu. U made my night!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…