Mara ya mwisho kuokota pesa lini

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Mar 10, 2022
25,062
48,159
Eti mala yako ya mwisho wewe kuokota pesa lini na ulikota shingapi?

Na ushawai oupoteza pesa kiasi gani mpaka ukajilaumu sana

Mimi mara ya mwisho kuotoka pesa ilikuwa juzi shilingi 100 niliokota

Na nilipoteza pesa 10000 na iyo ndio ilikuwa kilinda mfuko ugenini nikaona aibu kuomba nauli nikaenda kuzaubaa stend mpaka nilipo pata msaada kutoka nyumban
 
Jana,milioni 70,kuna mwanaappolo alijichanganya akazima bar nilikua karibu nae hapa chuga nilipita na begi lake,nilijifanya ni langu,kwenda mbele kulifungua laaahaulaaaaa,usiku kwa usiku nikasepa nipo mjini kwangu sasa,Temekeeeeee Mikoroshini na totoz za uswaz za kwenda
 
Pesa huwa haikotwi lakini hela ndio unaweza ukaokota, mara ya mwisho niliokota 5,000. Na nilishawahi kupoteza milioni 1.
 
Back
Top Bottom