yoteyametimia
JF-Expert Member
- Nov 20, 2022
- 210
- 262
Hiki ndo kipindi changu pendwa cha TV kwenye BBC Lifestyle channel 174.
Mnakutanishwa watu wanne, tano au sita ambao hamjuani, mnatembeleana kila cku nyumba ya kwanza hadi wa mwisho halaf mshindi anapatika siku ya mwisho anashinda pesa, kaz yenu kupika chakula na kuwapa watu good time nyumbani kwako halafu wenzako wanakupa alama kisiri.
Wakati kipindi kinaendelea anakuwepo narrator inabidi awe mchekeshaji kaz yake kuelezea yanayoendelea na ucheshi ndani yake.
Ndo hapo sasa inabidi ujipinde upike watu waseme wow wakupe 10/10 sio unapika wali maharage watu wanakula kila cku ushafeli , au upike wali maharage waseme sijawahi kula maharage ya hivi, na pia watu wafurahi wakiboreka wanakupunguzia alama unaonekana sio mkaribishaji wagen
Wagen waalikwa nao wa kila aina, wale wa kukosoa kila kitu (sababu inabid mkiwa mezan mtoe comments kuhusu chakula) , wanafik mezan wanasifia halafu wakihojiwa wakati mpishi hayupo wanakosoa, wenye mahitaji maalum mara sili hadi unithibitishie hii nyama ni halal, mi vegetarian sili nyama, nina aleji na kitu gani, mara kuna nywele kwenye chakula, mara wakutane watu tu damu haziendani kuharibu vibe la dinner, wagombane
Na wakifika kwako we unapika huko unawaruhusu kuingia ndani kuchunguza nyumba yako
Unaweza kuwaburudisha unavyojua ww wengine Wana enjoy maongezi tu, wengine wanaleta wanamziki, wapiga sarakasi, watengeneza cocktail, wacheza ngoma
Nakipenda sana hasa kwakuwa ni kuhusu upishi, mtuletee Tanzania wajameni nitoe elf 60 nipike nishinde laki 5 sio mbaya 😆