Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 747
- 1,606
Mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Mtwara, zimesabisha maporomoko ya udogo, kufunga barabara Kuu ya Mtwara, Lindi, Dar es Salaam, katika eneo la Mikindani kwa zaidi ya saa tano na hivyo kuleta usumbufu kwa abiria na madereva.
Soma Pia: Barabara Kuu ya Dar- Lindi imekatika sehemu 2 na kukata mawasilino
Soma Pia: Barabara Kuu ya Dar- Lindi imekatika sehemu 2 na kukata mawasilino