Pre GE2025 Mapokezi ya Jesca Kishoa kwa wananchi Kata ya Nkalakala akiwa na vazi la kijani na kusindikizwa na nyimbo za CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Aug 29, 2022
790
1,671
Mbunge wa Viti Maalum Mhe. Jesca Kishoa amefika katika Kata ya Nkalakala Wilayani Mkalama Mkoani Singida na kufanya mkutano wa hadhara na wananchi pamoja na kusikiliza kero za wananchi.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Soma Pia: Pre GE2025 - Kipindi hiki cha Uchaguzi wanawake wanapata nafasi ya kutosha kushiriki kwenye masuala ya uchaguzi?


Kishoa amewasili katika mkutano huo leo tarehe 16 Februari, 2025 huku akiwa amevalia vazi lenye rangi ya kijani, sambamba na kusindikizwa na nyimbo zinazokiimba Chama cha Mapinduzi CCM

Your browser is not able to display this video.
 
Mkubwa mzima unakuwa chawa. Sasa story gani hii
 
Nikifikiria maisha ya wananchi wa Mkalama then ukaangalia huo msafara na shamrashamra....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…