Mapinga: Uvamizi wa mashamba sasa basi

Diplomatic Imunnity

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,179
318
Polisi Kibaha yafanya msako wa shamba hadi shamba kukamata wavamizi wa mashamba Bagamoyo Mapinga. Zoezi lilombatana na gari za FFU na askari kazi likiwa limeendeshwa na SP bakari kutoka Makao Makuu ya Polisi Kibaha na msaidizi wake wa kituo cha Mapinga OCS na kufanikiwa kukamata vinara wa ujambazi wa ardhi.

Wananchi walia na maisha yao hali ni tete sana

Chanzo: Mimi mwenyewe

 

Only in Tanzania, sasa wavamizi wa mashamba / mameneo wanasakwa kwa mtutu wa bunduki au
mbinu kali za kipelelezi na inteligencia..??? sasa hapo kwa hali ya kawaida watamkuta nani zaid ya babu
mlima mihogo na tembele amabaye anakuwa kama mlizni wa maeneo ya watu.

Hakuna mwizi wa kiwanja anayeenda kukamatwa kwa njia za kienyeji namna hiyo kwani angekuwa
hata yule mnyama mwenye wivu aitwaye "nyegere au honey badger" asingekamatwa kizembe hivyo.
 
Wanajuaje kama kuna uvamizi? Nchi hii sijui inaendeshwa kwa misingi ya sheria gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…