Ahhh wapi!!! Mkitaka ongezeni udhamini la sivyo timu zitaleta Hadi Queens.Mapinduzi anaasisi historia ya Tanzania. Haya mashindano yasiwe kama Fiesta ndoo, maana ni chini ya ndo ndo Cup.
Clip kubwa Tz zinaalikwa badala yake zinaleta U-16. Tunajidhalilisha.
Viongozi hili kombe lipeni heshima atakaye shinda apate nafasi kuingia mashindano ya CAF ..fano aingie kombe la washindi.Yanga na Simba mnapewa hadhi badala yake mnadhihaki.
Je bila Karume Makao yeñu msimbazi na Jangwani yangekuwepo? Tafakari
Anza na hao viongozi wa hilo kombe, waboreshe maslah na muundo wa michuanoMapinduzi anaasisi historia ya Tanzania. Haya mashindano yasiwe kama Fiesta ndoo, maana ni chini ya ndo ndo Cup.
Clip kubwa Tz zinaalikwa badala yake zinaleta U-16. Tunajidhalilisha.
Viongozi hili kombe lipeni heshima atakaye shinda apate nafasi kuingia mashindano ya CAF ..fano aingie kombe la washindi.Yanga na Simba mnapewa hadhi badala yake mnadhihaki.
Je bila Karume Makao yeñu msimbazi na Jangwani yangekuwepo? Tafakari
Mnataka mpewe hadhi ipi akati ninyi wenyewe mnajitenga na kujiona ninyi sio Watanzania bali Wazanzibari?Mapinduzi anaasisi historia ya Tanzania. Haya mashindano yasiwe kama Fiesta ndoo, maana ni chini ya ndo ndo Cup.
Clip kubwa Tz zinaalikwa badala yake zinaleta U-16. Tunajidhalilisha.
Viongozi hili kombe lipeni heshima atakaye shinda apate nafasi kuingia mashindano ya CAF ..fano aingie kombe la washindi.Yanga na Simba mnapewa hadhi badala yake mnadhihaki.
Je bila Karume Makao yeñu msimbazi na Jangwani yangekuwepo? Tafakari
With all due respect kwa akili yako timamu kabisa unaamini kabisa makao makuu yasingejengwa?!Mapinduzi anaasisi historia ya Tanzania. Haya mashindano yasiwe kama Fiesta ndoo, maana ni chini ya ndo ndo Cup.
Clip kubwa Tz zinaalikwa badala yake zinaleta U-16. Tunajidhalilisha.
Viongozi hili kombe lipeni heshima atakaye shinda apate nafasi kuingia mashindano ya CAF ..fano aingie kombe la washindi.Yanga na Simba mnapewa hadhi badala yake mnadhihaki.
Je bila Karume Makao yeñu msimbazi na Jangwani yangekuwepo? Tafakari
Walimwambia mwakinyo mambo ya zanzibar yawanufsishe wazanzibar, sasa wanataka nn tena?Kiukweli mategemeo ya wazanzibar hukatishwa tamaa ya kutoshuhudia ukubwa halisi wa hizi timu kubwa pendwa.
Badala yake wanacheza wachezaji wa hadhi ya chini.
Hata hivyo thamani ya kombe ni ndogo sana.
Ni Kweli; Yanga na Simba hazikuitenda heshima kwa Mapinduzi cup mwaka huu. In fact Yanga ndiyo ilidharau zaidi kwani licha ya kuepeleka timu ya watoto, hata kocha mkuu wa Yanga hakuhudhuria.Mapinduzi anaasisi historia ya Tanzania. Haya mashindano yasiwe kama Fiesta ndoo, maana ni chini ya ndo ndo Cup.