Mapenzi yananitesa

asha mushi

Member
Feb 23, 2017
33
29
Jf naomba ushauri kwani kuna dawa ya kuacha kupenda au kutokuumia ukiacha maana nateseka sana mapenzi yamekuwa changamoto saana kwangu naomba nisaidieni jamani nimechoka na hii kitu inaitwa mapenzi nataka niwe mwenyewe nifanye mambo yangu.
 
Ukitaka usimumizwe na mapenzi fanya mambo yafuatayo. Achana na kufukuzia mwanamke au mwanaume unayemtaka. Jaribu kuwa bize na maisha yako ya kawaida, pambana na maisha, tafuta pesa, fanya kazi, fanya mazoezi ya viungo na lkazi za mikono na muhimu kuliko yote, nenda kanisani uwe mtu wa ibada. I tell you, hiyo spirit ya kuwaza love inaondoka taratibu, na utajikuta wahusika wanakuja wenyewe aisee. Kama wewe ni mwanaume utajikuta mabinti wanajisogeza kwako wenyewe, kazi yako kuchagua
 
ukiamua kuachana nayo utaweza tu kama ikishindikana kunywa mkojo
 
Mapenz ni hisia zinazoumiza na kutesa watu wengi lkn Huwa hazichoshi, Leo umelalamika kesho Utapata mtu after then utasau ila akikutenda Utakumbuka tena Halafu maisha yanakwenda,
 
Jamani! Pole sana....
Sisi wengune sijui tuliumwa na mioyo ya kichina!??? Yaani kitu mapenzi ata sijui kitaniumiza lini?? Sijapenda bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…