wa ilula
Member
- Jan 28, 2023
- 33
- 59
Heshima mbele Wana jamvi.
Hope wote mpo salama kabisa.Moja Kwa Moja niende kwenye mada, Kwa kifupi ni kwamba mwaka Jana mwezi wa pili nlikutana na mdada mmoja hivi ambae single mama wa mtoto mmoja.Kwa mujibu wa yeye mwenyewe ni kwamba mwanae uyo wa takribani miaka minne alimpata huko chuo Cha ualimu Mkoani Kilimanjaro.
Ni kwamba Kuna mwamba alimpachika mimba na kuikataa ,lakini baada ya kujifungua mtoto wa kiume anadai shangazi zake na mzazi mwenzie walikuja kumkagua mtoto na kukiri ni wao.Japo mwenyewe anadai hawamsaidii matunzo ya mtoto Kwa namna yoyote Ile na baba mtoto Kila akimpigia mtoto akiumwa jamaa anadai Hana pesa.
Tuachane na habari za huyo mme mwenzangu. Back to topic ni kwamba Binti yule mapenzi moto moto yaliendelea kati yetu vizuri kabisa huku nikimpiga tafu misaada ya hapa na pale.
Ilipofika mwezi wa Kuni mwaka Jana 2022 Kwa bahati mbaya nlipoteza kibarua changu sehemu nliokua nimejishkiza.
Nlimjuza mchumba suala Hilo akadai usijali utapata sehemu nyingine poa tutakua tunapigana tafu (maana na yeye alishapata kazi dukani pale kariakoo japo Bado anaishi na wazazi wake)
Tumeenda Vizuri kabisa na mapenzi yetu motomoto Hadi ilipofika tarehe 13 mwezi wa 12 mwaka Jana ambapo Mimi nliugua maralia Moja matata sana iliopelekea Mimi kukaa home kama siku Tano hivi.
Baada ya kumjuza kwamba naumwa siku iliofatia alikuja nijulia Hali ikiwa ni pamoja na kunipikia msosi.
Siku iliofatia alikuja kuchukua vitu vyake maana alikua na baadhi ya nguo zake apa kwangu.
Nlivomuuliza mbona anafungasha akadai hakuna shida yoyote anataka zikakae tuu kwao mi Wala sikutia shaka.
Baada ya siku iyo simu yake haikupatikana Tena Kwa mda wa kama siku nne ivi akaja kunipigia na kuniuliza naendeleaje nikamwambia naendelea vizuri. Mbona ulikua hupatikani hewani akadai simu ilikua mbovu.
Baada ya hapo ikawa ndo mwisho wa mawasiliano Mimi na yeye Maana mi baada ya kunijibu mkato sikutaka kumtafuta Tena Wala yeye hakuwahi kunitafuta kwa kifupi adi hapa naandika hatujawasiliana karibia mwezi wa pili japo status zake WhatsApp na view nae zangu ana-view ila Kila mtu amekula ngumu
Kwa wazoefu wa masuala ya mahusiano huu mkasa umekaaje? Maana huyu mdada hatukuwahi gombana hata siku moja katika uhusiano wetu. Au ndo jini wake kamkataza kuwa na Mimi maana alishawahi nambiaga ana jini wake ambae sio mbaya
Au ndo kaamua akaishi na mzazi mwenzie?
Kuna mda roho inaniambia nimfate kwao nikajibembeleze lakini Kuna roho nyingine inaniambia achana nae uyo Hana mapenzi na wewe.
Naomba kuwasilisha wadau,POVU RUKSA.